Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Ndo hivyo hatukuwa na usajili mzuri, na timu yetu ndo hiyo tujipange msimu ujao wa ligi!
Haya!Man U nawatieni moyo,mkajipange upya jamani,mpira ni kama kisulisuli,hujui kitakuwa wapi muda mfupi ujao,mmekuwa strong for almost 8 years in CL lakini sasa soka ipo Man city,Chelsea,Bayern,Atletico etc!mnahitaji something new and different,cha kujiuliza ni je,Moyes anao uwezo wa kuleta "upya" huo?poleni sana wakuu!haya ni maisha bila Fergie,yatapita tu!
Dreaming? Au?
Everyone expected it mkuu...labda wewe tu ndo "ulidhani" mtamtoa Bayern.
So many c*unts in this thread tonite, puking a lot of pukes...
3 added mins...
GGMU
pole zetu...we got what we deserve! Evra pamoja nakufunga cracker ametucost sana na hili nililiona hata kabla ya mechi
tumefunga goli linarudishwa baada ya dakika tatu!thats schoolboy error in big stage1
rooney sijui kala nini he had an offday!
Bayern were there for the taking!naamini wangekuwa Chelsea wangeshinda hii mechi,Bayern aint that good we just did some stupid errors time and time again!to concede a goal right after you score a potential semifinal clincher is unacceptable at this level!
against timu zenye akili tumefungwa 3 au zaidi hii inaonyesha wazi tupo chini ya kiwango kinachotakiwa kushindana kwenye championships either ECL or EPL.....MOYES can still do the if he gets players who will work hard for him right now in our squad only a handful play for him others are just not interested
ni maoni yangu tu.
all the best atletico and real madrid im right behind you

Muda haukupita saana...
No Caption...khekhekhe...khe khe khe khe khee...eeee
Bora wewe umeona pia...Evra ni liability, goli alilofunga ni GOLAZO na limewasahaulisha watu...Buttner alikuwa na gemu nzuri sana OT, alimweka Robben mfukoni...leo goli za 2 na 3 zimetoka kwa Evra!!
Rooney hakuwa fit 100% hivyo hakupaswa kucheza muda wote...amekosa nafasi tatu za kufunga...alipaswa atolewe kwenye dakika ya 70...
Kweli, nami pia naamini tukipata wachezaji kama wanne hivi, basi mambo yatakaa poa...DM ama kocha yeyote, basi United itarudi...siyo mbaya kuchukua likizo kidogo kwenye UCL...
Ila leo DM alichelewa sana kufanya sub...yaani baada ya Buyern kusawazisha tu, basi pale pale Chicha na Januzaj wangeingia..na Rooney na Welbeck kutoka...sasa akachelewa sana kufanya sub...
Anyway...nimeridhika na matokeo...hakuna visingizio, Buyern wamestahili kwenda...wala sumu waliamini United tutafungwa goli 10 hivi...kumbe wapi...na walitamani kweli iwe hivyo...Buyern walimpiga goli 7 Barca msimu jana...kufungwa 4-2 kwa jinsi timu yetu ilivyo mbovu sasa, lazima nitembee kifua mbele, kichwa juu.
I am in love with #ManUnited