Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakuunga mkono hata mimi sikuona ubora wa bayern ni nyinyi kukosa umakini tu!!Rooney anakosa goli ndani ya sita tena akiwa Unmarked. Dah....Bayern Bomu kabisa haina mbinu, nusu mwsho wake, timu inatafuta goli dk zaidi ya 45

Rooney ni mmoja wa wachezaji ninaowapenda duniani....lakini leo kanidisappoint sana sitasahau....wether he was not 100% fit or whatever he looked disinterested....first half he was caught in two minds!!! he was indecisive whether to shoot or pass the damn ball to Kagawa!! he had two opportunities to pass to Kagawa but i dont know what he was thinking!

that miss in the second half summed up his night....how could he miss a sitter???!!! a tap in!!i could score that playing with one leg!!!

whoever faces bayern next round will win....bayern were there for the taking it was down to us man utd to finish the job
 
all in all i think bayern is overated...Man u have them selves to blame kwa kushindwa kufika semi..a lot of clear chances wasted both at OT na Alianz ..
Altetico wanaweza kufanya yaliyofanywa na porto 2004

overated...overhyped...overprotected....they are not that good....i believe chelsea/atletico will hammer bayern.....
 
Rooney ni mmoja wa wachezaji ninaowapenda duniani....lakini leo kanidisappoint sana sitasahau....wether he was not 100% fit or whatever he looked disinterested....first half he was caught in two minds!!! he was indecisive whether to shoot or pass the damn ball to Kagawa!! he had two opportunities to pass to Kagawa but i dont know what he was thinking!

that miss in the second half summed up his night....how could he miss a sitter???!!! a tap in!!i could score that playing with one leg!!!

whoever faces bayern next round will win....bayern were there for the taking it was down to us man utd to finish the job

Unajipa moyo....tulia ufundishwe soka
 
Attachments

  • 1397079118708.jpg
    1397079118708.jpg
    43.6 KB · Views: 64
Vipi, ubingwa mnachukua?!?

Mabingwa wa mdomoni bana...

Umepotea kule kwenu...unaleta maneno mingi hapa..

Nasikia the specialist in failure amepewa mkataba mpya wa miaka 4 na keshasaini...

Arsenal wakimpa Wenger miaka 4, I will give up. Anyway, naamini Wenger hatosaini mkataba msimu huu, ataondoka mwenyewe. Inaelekea tutapigwa ubaya na Wigan na kupoteza top 4.
 
How many years do you want more professorial club management??? I think next year under Wenger gooners will win the UCL, EPL and FA cup.

Give him another chance please...
 
tatizo lako huwezi kuwa na civilised conversation....utaishiwa hoja utaanza matusi...and im not interested....just ignore me dud.

Huyo jamaa alikimbia jukwaa lao la goons...ni bonge la #Mburukenge tena #Mburukenge orijino..kule kwao wamekimbia wote na kumwacha mdudu Mbu tu akiugulia maumivu ya yet another disappointing season..
 
Last edited by a moderator:
What a night...
 
Attachments

  • 1397079736775.jpg
    1397079736775.jpg
    13.5 KB · Views: 68
  • 1397079752244.jpg
    1397079752244.jpg
    64.1 KB · Views: 64
  • 1397079765976.jpg
    1397079765976.jpg
    51.5 KB · Views: 66
  • 1397079787127.jpg
    1397079787127.jpg
    58.5 KB · Views: 62
  • 1397079799351.jpg
    1397079799351.jpg
    61.9 KB · Views: 61
Kinachouma zaidi ni kwamba msimu ujao hatupo pia.

Pamoja na kuuma chifu, lakini itakuwa poa kwetu tusiwepo ili tujipange...tumalize vizuri ili angalau twende Europa kwa ajili ya kujiweka sawa..

Umemsikia DM akisema kuna wachezaji wako keen kujoin United? Natumaini Kroos atakuwa mmojawao...yaani tukipata T. Kroos ama M. Reus kama viungo washambuliaji na tukapata Mangala ama Carvalho kama viungo wakabaji, na kupata Cavani ama Falcao kama striker, na CB mmoja...basi 2015/16 tutarudi UCL kwa kishindo..
 
Rooney ni mmoja wa wachezaji ninaowapenda duniani....lakini leo kanidisappoint sana sitasahau....wether he was not 100% fit or whatever he looked disinterested....first half he was caught in two minds!!! he was indecisive whether to shoot or pass the damn ball to Kagawa!! he had two opportunities to pass to Kagawa but i dont know what he was thinking!

that miss in the second half summed up his night....how could he miss a sitter???!!! a tap in!!i could score that playing with one leg!!!

whoever faces bayern next round will win....bayern were there for the taking it was down to us man utd to finish the job
rooney leo alikuwa tatizo tena sana ndo ametucost kwa kiasi fulani ila tulikuuwa hatauna sub nzuri nje ya kufanya ya kumtoa yeye labda kocha angeamua kurisk kwa kumtoa rooney alafu chicharito aingie acheze mbele na welbeck asimame kumi ila tatizo kubwa man u tulilokuwa nalo leo ni kushindwa kuzuia goli yaani walau kwa dk kumi tu zingetutosha sana sijui huwa kwanini tunashindwa wakati tuliweza kwa dk 45 zoote hapa ndipo ilipokuwa turning point ya mechi na hapa ndipo tujilaumu. otherwise bayern walikuwa wetu kabis leo yaani tulikwa tunawapiga moja bila vizuri kabisa nyumbani kwao palepale
 
Pamoja na kuuma chifu, lakini itakuwa poa kwetu tusiwepo ili tujipange...tumalize vizuri ili angalau twende Europa kwa ajili ya kujiweka sawa..

Umemsikia DM akisema kuna wachezaji wako keen kujoin United? Natumaini Kroos atakuwa mmojawao...yaani tukipata T. Kroos ama M. Reus kama viungo washambuliaji na tukapata Mangala ama Carvalho kama viungo wakabaji, na kupata Cavani ama Falcao kama striker, na CB mmoja...basi 2015/16 tutarudi UCL kwa kishindo..

Europa haiwezekani kwenda mzee labda tumalize ligi wa tano which is almost impossible.
 
Pole sana Man United.

Kwa kweli nilipenda Man United kwa faida ya timu za England angalau wafike hata Semi-final ya haya mashindano ya UEFA Champions League.

Kuna watu wanaosapoti timu za England lakini kwa kutokuelewa wanafurahia Man United kuondolewa katika mashindano haya bila kufahamu kuwa, kwa kufanya hivyo, nafasi nne za timu za England kuingia kwenye mashindano haya zinazidi kupungua na kuna hatari kubwa pale utakapofanyika mkokoto (review) mwingine katika kuangalia ushindani wa timu za Europe kwenye hiki kikombe kati ya nchi na nchi, kuna hatari England ikajikuta inapewa nafasi tatu badala ya nne.

Kwa mtu anayefahamu maana hii lazima ataanza kupatwa na wasiwasi. This is sad reality.
 
Tukimaliza nafasi ya 6 tunaenda kwani Man Shitty alishinda League Cup..hivyo akimaliza top 4, ina maana kunakuwa na nafasi 1 zaidi ya Europa.
 
Pole sana Man United.

Kwa kweli nilipenda Man United kwa faida ya timu za England angalau wafike hata Semi-final ya haya mashindano ya UEFA Champions League.

Kuna watu wanaosapoti timu za England lakini kwa kutokuelewa wanafurahia Man United kuondolewa katika mashindano haya bila kufahamu kuwa, kwa kufanya hivyo, nafasi nne za timu za England kuingia kwenye mashindano haya zinazidi kupungua na kuna hatari kubwa pale utakapofanyika mkokoto (review) mwingine katika kuangalia ushindani wa timu za Europe kwenye hiki kikombe kati ya nchi na nchi, kuna hatari England ikajikuta inapewa nafasi tatu badala ya nne.

Kwa mtu anayefahamu maana hii lazima ataanza kupatwa na wasiwasi. This is sad reality.

Bora wewe umeongea kama mpenzi wa soka..siyo wengine humu wanatoa pukes...

Umeongea jambo la msingi sana...lakini sidhani kama jambo hilo laweza kutoa hivi sasa...ila mwakani kama timu kutoka England (Loserfools, Everton, Shitty na Chel$ki$) zikiingia UCL...kuna wasiwasi wa timu pengine 1 tu kusonga mbele...ikitokea hivyo, then 2015/16 utakuwa msimu wa mashaka kupata nafasi 4...
 
Back
Top Bottom