MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi.
Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue.
Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo mmiliki wa Timu ya Singida Big Stars ila amegatua tu majukumu ya kiutendaji kwa watu wengine lakini pesa zote anatoa yeye.
Tozo umiza kwa watanzania zinatumika kufanya kufuru kwa klabu ya Singida Big Stars huku system ya Tanzania ikikaa tu kimya wakati hii ni hatari mno.