Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi.

Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue.

Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo mmiliki wa Timu ya Singida Big Stars ila amegatua tu majukumu ya kiutendaji kwa watu wengine lakini pesa zote anatoa yeye.

Tozo umiza kwa watanzania zinatumika kufanya kufuru kwa klabu ya Singida Big Stars huku system ya Tanzania ikikaa tu kimya wakati hii ni hatari mno.
 
Hako ka team kanatumika kutakatisha fedha za mwamba
Uko sahihi tena kwa 100% Ndugu na Nasikitika System ya Tanzania inamuangalia tu na Mama nae wala hajamshtukia na kuona kuwa ni tatizo na atakuja Kumponza japo tayari ameshamponza katika Suala zima la Tozo Umiza zake.

Achunguzwe upesi sana tafadhali.
 
Tozo zetu hizo,akipiwa chini timu inakufa
Wala hujakosea Ndugu akipigwa chini na Mama na hii Klabu yake ya Singida Big Stars nayo inakufa mazima.

Mama anaogopa Kumtumbua hapo kwakuwa Mshauri wake Mkuu ( sasa ni Muangalizi Mkuu wa Chaguzi mbalimbali na za hovyo Barani Afrika ) ndiyo kalazimisha awe katika hiyo Docket ili amtumie katika Kufanikisha Malengo ya Klabu yake pendwa ya Yanga, Wadhamini wao ( Matapeli wa Magodoro wa Salamander ) na yake Binafsi.

Na tokea huyu Waziri wenu ajue kuwa anakingiwa Kifua na Mshauri Mkuu wa Mama hivi sasa ana Jeuri zote, anajiamini ndiyo maana mpaka anatuambia kwa Dharau kuwa kama tumechoka kuishi Tanzania ya Tozo basi tukaishi Burundi.

Huyu Mtu anamharibia sana Mama!!
 
ameandika mkewe ndo mmiliki wakati hata chanzo cha pesa za kununulia hayo mabasi huyo mkewe hana.

Ni fedha zetu za tozo. Ale tuu nae ataliwa soon
Mkewe hana Jeuri hiyo na kwa 109% Yeye ndiyo Mmiliki wa hayo Mabasi. Asidhani Watanzania wote ni Wapumbavu na atambue kuwa kuna Wengine hawana hata hiyo Elimu Kubwa na Doctorate aliyonayo ila wana Akili Kubwa kumzidi.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom