Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

Kuelekea mapambazuko hutangulia giza wapendwa. Mungu ni wa utaratibu hatakaa kimya.
 
wanasema mwenye hayo magari ya esther,ana mtoto mmoja tu wa kike,jina lake esther.
Watanzania tumeshazoea Kudanganywa hivyo wala sishangai na sikushangai pia.

Kuna Rais Mmoja ( Mstaafu na nimemsahau Jina ) aliwahi Kuambiwa na Rais Genius kwa sasa Afrika kuwa anaongoza Maiti.

Je, unaona alipatia au alikosea Ndugu?
 
Mimi nimeandika hapa juzi tu
 
Ila Watu mna Siri, kumbe jamaa anamiliki mabasi na hamsemi?
Tokea upate Kazi hapo Singida Big Stars umekuwa Mnafiki na wa hovyo. Halafu Mwenyewe unadhani hujashtukiwa Wewe ni nani wakati tunakujua na Kukuangalia tu pamoja na kuja na hii ID yako.
 
Back
Top Bottom