Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?

klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina
🇦🇷

Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji

1661536743540.png

Bila kuwasahau Wabrazil watatu

kk.jpg
 
Hao akina Dario msimu ujao watakuwa Simba&Yanga.

Inaonesha scouting inafanyika siyo ujiko tu wakuleta watu kutoka mataifa ya soka.

Siyo wachovu!
Ni wamoto sana wabrazili wale.
Homeboy Mwigulu amedhamiria kuleta kombe Singida. Hayo mengine ya tozo tupambane tu😀
 
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?

klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina
🇦🇷

Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji

View attachment 2335779

Bila kuwasahau Wabrazil watatu

View attachment 2335785
Ana undgu na Pablo Escobar!??
 
Back
Top Bottom