Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

master hii siyo story ya kijiweni ebu jiulize kwa nini maisha ya nyumbu siku zote yeye ni safari na njia, haijalishi usiku au mchana yeye hukimbia tu au hutembea kwa foleni tena hajali mto,mlima, au mvua na jua,
na ukitaka kuamini kuwa nyumbu ni mjinga ye yuko radhi amkimbie simba aridhini lakini akaliwe na mamba mtoni, we acha bwana tena mtu akikuita we ni nyumbu mtoboa macho

Nyumbu kuhama toka Serengeti kwenda Masai Mara ni ecology ndugu yangu, tena mnyama mjinga ni Ngiri ambae anaweza kukurupushwa na Predator akafika mbele na kuanza kurudi alipo predator.
 
M! Naona mnyama muoga kuliko wote ni binadamu wa kike, kwani anaweza akajivunja hata mguu kwa kumkimbia kinyonga ambae hata jongoo anamzidi speed
 
M! Naona mnyama muoga kuliko wote ni binadamu wa kike, kwani anaweza akajivunja hata mguu kwa kumkimbia kinyonga ambae hata jongoo anamzidi speed

ukitaka kujua kuwa kinyonga ana spidi kuwe na moto porini anakimbia au anavuka barabara kukiwa na gari inamkaribia.
 
Huyu ni mnyama jasiri kuliko wote unaowafahamu, hamuogopi binadamu sembuse kamendegere!!!! Usifanye mchezo na honey badger.

Honey badger ndio mnyama pekee mwenye akili za kutumia zana kama ngazi nk
 
Akiwa na mama ngina wake ukioneka around nawe ni wa kiumeni timing yake ni kwenye kengele, yaani fasta tu, salama yako ni kukimbia tu tena kwa kasi ya ajabu

Kutumia neno Mama Ngina wake kumefanya nihisi ni mtu ninayemfahamu maana hili jina Mama Ngina wake linahistoria ya kuanza kukutumia....!
 
Ila nyumbu noma sana mwanae analiwa na simba ye yuko pembeni anakula nyasi duh
 
Nyumbu kuhama toka Serengeti kwenda Masai Mara ni ecology ndugu yangu, tena mnyama mjinga ni Ngiri ambae anaweza kukurupushwa na Predator akafika mbele na kuanza kurudi alipo predator.

Sio ujinga bana ! ile ni defence strategy. Ngiri akiona Predator yupo close na karibia anakamatwa, basi anageuka kwa kasi na ku attack, hivyo mipango ya Predator inavurugika !
 
master hii siyo story ya kijiweni ebu jiulize kwa nini maisha ya nyumbu siku zote yeye ni safari na njia, haijalishi usiku au mchana yeye hukimbia tu au hutembea kwa foleni tena hajali mto,mlima, au mvua na jua,
na ukitaka kuamini kuwa nyumbu ni mjinga ye yuko radhi amkimbie simba aridhini lakini akaliwe na mamba mtoni, we acha bwana tena mtu akikuita we ni nyumbu mtoboa macho

Nyumbu si muoga na ni mnyama jasiri ! Nyumbu kipaumbele chake ni mzunguko wake wa maisha. Nyumbu amejaliwa kujuwa wapi kuna nyasi na maji na eneo gani ni zuri kwa ku mate na kuzaa. Wanyama wengine huingilia utaratibu wake kwa faida yao. Nyumbu hawezi ogopa kuvuka mto kwakuwa una mamba, wakati anajuwa anako kwenda kuna malisho bora !
 
Kumbe ndio haka......!!!!
Kuna filamu moja ya Gods must be crazy kalimng'ang'ania jamaa balaa. Kama ndio kale ka mnyama basi ni balaa

Kwenye chanel ya wanyama walimtoa anafukuza nyoka Black Mamba. Ni burudani ya aina yake ! Lilikuwa pande la nyoka, katoka nae mbio kwenye nyasi anae, kwenye vichaka anae, duuh ! akapanda juu ya mti anae, akateremka chini anae, akaingia katika kishimo akafukua. Daaah, mwishowe akamdhibiti na kumla kama nyama choma !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom