Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Joined
Jun 3, 2014
Posts
49
Reaction score
11
Umbile la Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana maumbile ya wanyama kadhaa;

1. Miguu ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. Mkia ni umbile la Farasi
3. Michirizi ya Pundamilia
4. Pembe ni za Nyati
5. Ndevu ni za Pofu
6. Nywele za mgongoni ni za Pundamilia.
7. Nyumbu kwa jina lingine anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa na Simba, akikuta majani mazuri anajisahau kuwa anafukuzwa anasimama na kuanza kula majani.

Very amazing story!

attachment.php

 

Attachments

  • Common_wildebeest.jpg
    Common_wildebeest.jpg
    681.7 KB · Views: 2,060

Hapo kwenye kumbukumbu kuna mnyama anaitwa FUNGO huyu bwana huwa anachagua sehemu moja tu yakujisaidia(kunya) for a certain period of time na haisahau mpaka linakuwa lundo la kujaa kwenye sandalusi kama pesa za Escrow.

So the opposite of NYUMBU is FUNGO kwa kuzingatia suala la kumbukumbu.
 
umbile la
Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana
maumbile ya wanyama kadhaa.
1. Miguu
ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. mkia ni umbile la Farasi;
3. michirizi ya
Pundamilia;
4. pembe ni za Nyati;
5.ndevu
ni za Pofu;
6. nywele za mgongoni ni za
pundamilia.
7.Nyumbu kwa jina lingine
anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na
tabia yake ya usahaulifu.
Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa
na Simba, akikuta majani mazuri
anajisahau kuwa anafukuzwa
anasimama na kuanza kula majani.
Very amazing story
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
 
Ktk huko kusahau, anaweza kushuhudia mwenzake kakamatwa na mamba kwny mto halafu na yeye akajirushia hapo hapo!!
 
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania

Umenena kabisa ndio maana hata wangekuwa elfu moja simba akitaka lunch anawafuata, anachagua toka kwenye menu ya hao 1000, anamfukuza, anamkamata, anamuua wengine 999 huwagahwana habari kabisa kuhusu dhuluma, mateso na unyama anaofanyiwa mwenzao. Hamna tofauti na raia wa Tanzania
 
Pia wanastamina kubwa sana angalia ile migration yao Serengeti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom