MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Mihadhara ya elimu ya uraia ambayo imetolewa na upande wa upinzani bungeni na nje ya bunge kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita na juzijuzi kuongezewa nguvu na UKAWA ingeweza kutosha kutufungua macho wadanganyika lakini tunaona kinyume chake. Ninakubali, kweli tu vichwa vya nyumbu. Acha tutafunwe na mamba.tusiwalaumu sana ila tutafute solution na vipi tunaweza kuwasaidia hawa nyumbu.