Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu


Hapo kwenye kumbukumbu kuna mnyama anaitwa FUNGO huyu bwana huwa anachagua sehemu moja tu yakujisaidia(kunya) for a certain period of time na haisahau mpaka linakuwa lundo la kujaa kwenye sandalusi kama pesa za Escrow.

So the opposite of NYUMBU is FUNGO kwa kuzingatia suala la kumbukumbu.
Ahsante kwa bolding.

Solo limeeleweka.
 
Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa muda juu ya mnyama aitwae Nyumbu. Ningependa kujua yafuatayo kuhusu mnyama huyu:-
a) Je sheria zinaruhusu uwindaji wa wanyama hawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama nyama n.k
b)Je wanyama hawa wanapatikana nchi gani zaidi ya hapa Tanzania.
c) Je wanyama hawa wanazo tabia gani kuu zinazowatofautisha na wanyama wengine.
Aksanteni sana na karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom