Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Nyumbu si muoga na ni mnyama jasiri ! Nyumbu kipaumbele chake ni mzunguko wake wa maisha. Nyumbu amejaliwa kujuwa wapi kuna nyasi na maji na eneo gani ni zuri kwa ku mate na kuzaa. Wanyama wengine huingilia utaratibu wake kwa faida yao. Nyumbu hawezi ogopa kuvuka mto kwakuwa una mamba, wakati anajuwa anako kwenda kuna malisho bora !

we ndio ujui kitu kbs tena unafanana na jina (kombo) sasa kuna faida gani kuliwa na mamba na usifike unakokwenda, leo hii we unaweza kuvuka mto angali unajua una mamba na lazima mmoja wenu aidha baba , mama au mtoto au mke wako lazima ataliwa? huwo utakuwa ujasila au akili ya matope! tena kwa taarifa yako nyumbu ni mjinga kupindukia ndio maana yeye ni bendela fuata upepo tu, nyumbu huongozwa na punda milia kujua wapi mvua itanyesha, au wapi mvua ilishanyesha na kuna majani mabichi, vilevile punda milia humtanguliza nyumbu kma chambo zile sehemu zenye maadui na ndio maana wajinga nyumbu huliwa sana na maadui kuliko punda milia,
akili ya darasani changanya na yako mjomba Ally Kombo
 
ebu weka hadharani ujasiri wa nyumbu hapa jukwaani, tuchanvue
 
Nyumbu sio mjinga kama mnavyofikiria,nyumbu amepewa akili zile za umbulura ili kuwe na usawa wa wanyama (ecosystem).
Nddio wanyama pekee walio wengi kuliko wote msituni na wanazidi kuzaliana maradufu..kama wasingekuwa mambulura na wangepewa uwezo wa kujlinda wasiliwe na wanyama wengine bhasi leo hii mbuga zote zingekuwa zimejaa nyumbu, nahisi wengine wangeanza kuja mpaka town kabisa,ukipita kariakoo pale unakutana nao kibaoooooo....pasingetoshaa
 
Kwenye chanel ya wanyama walimtoa anafukuza nyoka Black Mamba. Ni burudani ya aina yake ! Lilikuwa pande la nyoka, katoka nae mbio kwenye nyasi anae, kwenye vichaka anae, duuh ! akapanda juu ya mti anae, akateremka chini anae, akaingia katika kishimo akafukua. Daaah, mwishowe akamdhibiti na kumla kama nyama choma !
Basi hakuna mnyama mwenye hasira kama huyu
 
we ndio ujui kitu kbs tena unafanana na jina (kombo) sasa kuna faida gani kuliwa na mamba na usifike unakokwenda, leo hii we unaweza kuvuka mto angali unajua una mamba na lazima mmoja wenu aidha baba , mama au mtoto au mke wako lazima ataliwa? huwo utakuwa ujasila au akili ya matope! tena kwa taarifa yako nyumbu ni mjinga kupindukia ndio maana yeye ni bendela fuata upepo tu, nyumbu huongozwa na punda milia kujua wapi mvua itanyesha, au wapi mvua ilishanyesha na kuna majani mabichi, vilevile punda milia humtanguliza nyumbu kma chambo zile sehemu zenye maadui na ndio maana wajinga nyumbu huliwa sana na maadui kuliko punda milia,
akili ya darasani changanya na yako mjomba Ally Kombo

............. mr brocken, sijui umefunjika mshipa wa fahamu !?
Jipe muda kidogo kufikiri, then ndio uandike !.........nikuulize: Wale watanzania wanao peleka madawa ya kulevya china na nchi nyingine, huwa hawana akili !? .....kwanini wanathubutu wakati wanajuwa hukumu ni kifo !........hakuna wanao pita ?.......kwanini wanabeba risk hiyo ya Maisha ?!.
Ktika Nyumbu 10,000 wanakamatwa si zaidi ya 100 !
 
Last edited by a moderator:
ebu weka hadharani ujasiri wa nyumbu hapa jukwaani, tuchanvue

.........Kila mnyama ana fahamu zake na anajuwa anapotaka kwenda, ndio maana na Preditors wanavizia atakapo pita.
Hivyo Nyumbu wanajuwa majani yako wapi na wanajuwa hatari iliyoko mbele. Sasa achague afe njaa au akabili ajali ya Preditors wanao mvizia njiani !
 
............. mr brocken, sijui umefunjika mshipa wa fahamu !?
Jipe muda kidogo kufikiri, then ndio uandike !.........nikuulize: Wale watanzania wanao peleka madawa ya kulevya china na nchi nyingine, huwa hawana akili !? .....kwanini wanathubutu wakati wanajuwa hukumu ni kifo !........hakuna wanao pita ?.......kwanini wanabeba risk hiyo ya Maisha ?!.
Ktika Nyumbu 10,000 wanakamatwa si zaidi ya 100 !

ndugu yagu Kombo, unajua siku zote ukimtetea mjinga tena bila point za kutosha ndivyo nawe unavyowekwa kwenye kundi hilo, na ndio maana unakwepa swali langu na kuleta story zingine, ebu nijibu kwanza swali langu, uko safarini na familia yako, na umekuta mto wenye mamba na wana njaa kali, wakati huo huo unajua kbsa kwamba tukidumbukiza miguu yetu pale mmoja kati yune aidha wewe mwenyewe, au mke wako au watoto unaowapenda ni lazima ataliwa, Je wewe utathubutu kujaribu kuvuka?
sasa majibu ya swali hili ndio litakutoa uko uliko kwa hao wajinga wanaobebeshwa unga ambao wewe bado unawona eti ni wajanja, ujanja kubeba unga then mwisho uishie kwenye kitanzi! ujanja kubeba unga ili uje uaribu akili za ndugu zako wawe mazezeta,
eti unauliza kwa nini wanathubu!!!
wanathubutu kwa vile ni wajinga kama nyumbu na ndio maana ata wazungu walikosa jina na wakamuita gnue ivi unajua maana ya hilo jina?
 
Last edited by a moderator:
.........Kila mnyama ana fahamu zake na anajuwa anapotaka kwenda, ndio maana na Preditors wanavizia atakapo pita.
Hivyo Nyumbu wanajuwa majani yako wapi na wanajuwa hatari iliyoko mbele. Sasa achague afe njaa au akabili ajali ya Preditors wanao mvizia njiani !

bado unatapatapa tu, nimekuambia weka hapa hadharani huo ujasili wa nyumbu, ivi wewe unajua kusoma kweli, kwa nini unakataa ukweli nyumbu ni mjinga tu, na usipoweka ujasili wa nyumbu hapa basi na wewe ni nyumbu
 
ndugu yagu Kombo, unajua siku zote ukimtetea mjinga tena bila point za kutosha ndivyo nawe unavyowekwa kwenye kundi hilo, na ndio maana unakwepa swali langu na kuleta story zingine, ebu nijibu kwanza swali langu, uko safarini na familia yako, na umekuta mto wenye mamba na wana njaa kali, wakati huo huo unajua kbsa kwamba tukidumbukiza miguu yetu pale mmoja kati yune aidha wewe mwenyewe, au mke wako au watoto unaowapenda ni lazima ataliwa, Je wewe utathubutu kujaribu kuvuka?
sasa majibu ya swali hili ndio litakutoa uko uliko kwa hao wajinga wanaobebeshwa unga ambao wewe bado unawona eti ni wajanja, ujanja kubeba unga then mwisho uishie kwenye kitanzi! ujanja kubeba unga ili uje uaribu akili za ndugu zako wawe mazezeta,
eti unauliza kwa nini wanathubu!!!
wanathubutu kwa vile ni wajinga kama nyumbu na ndio maana ata wazungu walikosa jina na wakamuita gnue ivi unajua maana ya hilo jina?

uwezo wako wa kufikiri uko chini sanaa! ....hivyo hakuna maana yeyote
kuhangaika kukupa tafsiri mtu kama wewe !
Ujasiri maana yake ni uthubutu wa kikabili vikwazo kwa hali yeyote ile.
Unajua idadi ya nyumbu? ....unajua idadi yao wanavyo zaliana? ....unajua ni nani ameweka udhibiti wao wa idadi?
Je, ! umewahi kuona Nyumbu wanavyokusanyika kujitayarisha na safari ya kuhama? (migration). Moja ya maajabu ya Dunia hakika ni tendo hilo!
Nyumbu wamenyenyekea na wametii.
Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, anayejua yaliyofichikana na yaliyo dhahiri.
 
Ni nyani, nyani akipanda juu ya mti halafu akatokea mtu akaaukumbatia mti huo, jua nyani atajiharishia mpaka basi
 
Nyumbu sio mjinga kama mnavyofikiria,nyumbu amepewa akili zile za umbulura ili kuwe na usawa wa wanyama (ecosystem).
Nddio wanyama pekee walio wengi kuliko wote msituni na wanazidi kuzaliana maradufu..kama wasingekuwa mambulura na wangepewa uwezo wa kujlinda wasiliwe na wanyama wengine bhasi leo hii mbuga zote zingekuwa zimejaa nyumbu, nahisi wengine wangeanza kuja mpaka town kabisa,ukipita kariakoo pale unakutana nao kibaoooooo....pasingetoshaa

Huyu mr brocken haelewi hilo wala halioni na shule kabahatika kwenda. Asinge enda shule, basi angekuwa chuma ulete!
 
Last edited by a moderator:
naona humfahamu vizuri huyu mnyama, nimetizama juzi kwenye national geographic channel yumo katika list ya world Deadliest animals na wakaonyesha anamuua swila na mwingine akiua chatu na kifutu na kumtafuna hapo hapo, ana meno makali sana,

Mkuu huyu honey barger ni hatari...
 
Akiwa na mama ngina wake ukioneka around nawe ni wa kiumeni timing yake ni kwenye kengele, yaani fasta tu, salama yako ni kukimbia tu tena kwa kasi ya ajabu

Ni kweli mkuu,huyu anang'oaga pu..mbu na ana mgongo uliokomaa haswa sijawahi ona myama kama yeye na pia ana kucha ngumu na kali sana.

Cha kushangaza huwa hata ukimtisha vipi haogopi wala kukimbia.
 
Mada nzuri tusojua tume elimika kuhusu hao wanyama,kuna huyo myama ameongelewa kwa kidhungu Honey badger, mnaomjua hamuwezi tutafutia jina lake kwa kiswahili?!.

Anaitwa Nyegere,nakumbuka miaka ya nyuma alishawahi kuja home kijijini asubuhi sana na kumchanachana ndama, halafu babu kaamka asbh anamfukuza ila hakimbii ni anavimbisha tu mgongo huku anamfuata Mzee

Bahati nzuri siku moja akaloba step akakwama kwenye shimo flan karibu na kisima,sio siri tulimkata mapanga na kumtupia vitu vizito ila alikufa baada ya masaa mengi mkuu

Anakulaga asali baada ya kujambia tundu la mzinga wa nyuki na nyuki wote wanalewa kisha anafungua mzinga na kuuachia undondoke na upasukie mgongoni mwake.

Huyu ndio Nyegere:
 
Attachments

  • 1429527677938.jpg
    1429527677938.jpg
    35.9 KB · Views: 148
Huyu mr brocken haelewi hilo wala halioni na shule kabahatika kwenda. Asinge enda shule, basi angekuwa chuma ulete!

naona umepata msaidizi wa kukuthanifu, nawe unachekelea angali kasema nyumbu ni mbulula, nawe unadhani neno mbulula ni la ki intelligence, poa lkn Mr Ally big up kwako
 
Last edited by a moderator:
naona umepata msaidizi wa kukuthanifu, nawe unachekelea angali kasema nyumbu ni mbulula, nawe unadhani neno mbulula ni la ki intelligence, poa lkn Mr Ally big up kwako

..... intelligence yake ni kufuata utaratibu wake wa maisha yake, pamoja na hatari inayomkabili katika mtiririko huo.
I wish ungewaona jinsi Nyumbu wanavyokusanyika kuanza safari yao ya 'migration' kutoka Masai Mara kuja Serengeti na kurudi Masai Mara. \ni moja ya maajabu ya Dunia.
 
habari ya leo Ally Kombo, mimi nimeshaona hao nyumbu wakifanya hiyo 'migration' na ndio maana ninauthubutu wa kusema kuwa nyumbu ni mjinga, nyumbu hukimbia kwa makundi usiku na mchana tena mbaya zaidi hukimbia angali kainamisha kichwa chini:sly:
nyumbu hachagui mahali ya kuruka bila kujiuliza kule anakorukia kuna usalama gani, ndio maana some times hurukia kwenye mawe na kuvunja miguu yao mtoni :thumbup:
nyumbu mmoja akikamatwa na adui wengine wote hukumbia mita kadhaa then wanarudi kuja kushangaa mwezao anavyoliwa 😕
mungu kambariki nyumbu kwa kumpa pembe aitimie kama silaha lkn awezi kuitumia:what:
mwisho kbisa nyumbu hana plan b ya maisha kama mwezake punda milia ambae anaweza kula majani makavu kipindi cha kiangazi na kumudu kukaa miezi kadhaa bila kunywa maji.
nyumbu kila siku hufikilia kula majani mabichi na maji fresh na ndio kitu kinamponza ndio maana kila siku mguu na njia kutafuta majani na maji,
mnyama mungine ambae ni mjinga kuliko wote ni sokwe mtu huyu anakula kinyesi chake au mkojo wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom