Masai Dada soma muundo wa sentensi nzima!kwa kawaida binadamu anatumia miguu miwili (miguu ya nyuma)kutembea na anauwezo wa kutumia nyenzo (vitendea kazi) kwa mikono yake(miguu ya mbele kwa mnakashi huu).
Jamii ya masokwe,kima na wajomba zao wanfanya kama binadamu kutumia vifaa kwa ajiliya shughuli zao,ila kwa wanyama watumiao miguu minne-simba tembo ,paka mbwa nk hawatumii vifaa kufikia malengo yao isipokuwa badger(nyegere)akiona ukuta mrefu hawezi kuukwea atatafuta kitu iwe jiti au kifaa chochote kile ilimradi apinguze urefu wa ukuta!wakati wakina simab watatafuta sehemu ya kupenya au pale pafupi,nyegere ani face problem hazunguki!
nadhani umenipata