Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:

naona humfahamu vizuri huyu mnyama, nimetizama juzi kwenye national geographic channel yumo katika list ya world Deadliest animals na wakaonyesha anamuua swila na mwingine akiua chatu na kifutu na kumtafuna hapo hapo, ana meno makali sana,
 
CCM, yaani bila kutumia vyombo vya dola, mahakama na vyombo vya habari vya Taifa, hawezi kusimama peke yake!
 
naona humfahamu vizuri huyu mnyama, nimetizama juzi kwenye national geographic channel yumo katika list ya world Deadliest animals na wakaonyesha anamuua swila na mwingine akiua chatu na kifutu na kumtafuna hapo hapo, ana meno makali sana,

Simba watano walimshindwa, binadamu hutolewa mbio na huyu honey budger.

Unaambiwa ukimpiga mkuki unadunda, ana wivu kupita kiumbe yeyote kuwahi kutokea.
 
wivu tena, hii sijawahi isikia
 
wivu tena, hii sijawahi isikia

Akiwa na mama ngina wake ukioneka around nawe ni wa kiumeni timing yake ni kwenye kengele, yaani fasta tu, salama yako ni kukimbia tu tena kwa kasi ya ajabu
 
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:

usiongee usichokijua, honey badger ni very fierce predator.... anaua hadi king cobra for ur information hata simba hawez mpokonya honey badger a kill.

kuhusu uoga labda ngedere i mean monkey sio gorilla.
 
Akiwa na mama ngina wake ukioneka around nawe ni wa kiumeni timing yake ni kwenye kengele, yaani fasta tu, salama yako ni kukimbia tu tena kwa kasi ya ajabu

hahahahaha, anadhani binadamu na yeye anaweza kwenda kugegeda mama ngina wake
 
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:

Labda sio honey badger ninayemjua mimi. Ila kama ni yule ana mchanganyiko wa rangi nyeusi na nyeupe, ni mkali sana na anaua viumbe wakubwa kuliko umbo lake. Hata binadamu anamzingua pia kwenye kujihami.
 
Simba watano walimshindwa, binadamu hutolewa mbio na huyu honey budger.

Unaambiwa ukimpiga mkuki unadunda, ana wivu kupita kiumbe yeyote kuwahi kutokea.

Mwenye wivu mkali anaitwa Tasmanian devil. ikifika msimu wa kupandana huwa anamuweka jike "mateka" na kumfanya "sex slave" ndani ya shimo. Anapiga mambo, akimaliza anapumzikia kwenye mlango wa shimo ili jike asitoke.
 
Ukiangalia recent wild animal documentaries utagundua kuwa fisi siku hizi sio wazee wa mizoga, wanawinda kimakundi, wanawinda hasa nyumbu wadogo, swala wadogo pia. Wanakula fresh meat.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom