Muoga kuliko wote sijui,ila ungeniuliza mnyama mpumbav kuliko wote ni nyumbu
Kwanini
Unataka kuanza shuhuli za ujangili eeh...
Mbugani kuna wanyama wengi sana kama tembo,chui,simba,twiga,nyumbu,mbwa mwitu nk. lakini ni mnyama yupi muoga kuliko wanyama wote?
Mbugani kuna wanyama wengi sana kama tembo,chui,simba,twiga,nyumbu,mbwa mwitu nk. lakini ni mnyama yupi muoga kuliko wanyama wote?
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Ndg mbona mada zako nyingi unazozianzisha hapa jukwaani zimekaa kilofolofa? Vp ushabalehe?
Mi namjua mnyama Bishoo kuliko wote, ambaye ni PAKA.