Mtu-Pori
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 1,308
- 1,514
Sio kweli, angalia hata you tube sasaiv- lions vs hyaena, uone shughuli yao.
Watu bado wanamjua fisi wa zamani wa kusubiri mifupa, recent documentaries zinaonesha wanawinda pia.
Sio kweli, angalia hata you tube sasaiv- lions vs hyaena, uone shughuli yao.
Hahahaah,,,,,,haya majamaa ni majinga ajabu. Yanatembea kwa makundi lakini akili hamna kabisa.
Mkuu honey budger au nyegere ndo mnyama mkorofi kuliko, ukubwa wake ni juu kidogo ya paka mkubwa, ana rangi nyeupe na nyeusi mgongoni. Kuna documentary niliiona anamkimbiza simba, kifupi ni kichaa. Anamla nyoka yoyote kuanzia Kichwani. I mean nyoka yoyote akimuona lazima ajambe. It's my favorite animal akifuatiwa na mbwa mwitu.
Huyu ni Ndege
sio nyenyere kweli????
majina mengi ya kikabila nahisi
embu tumieni kisahili wakuuu
Mi namjua mnyama Bishoo kuliko wote, ambaye ni PAKA.
Ndo huyu.
anapatikana huku huku bongo sehemu za maporini kwa wingi tu na ni mtemi hasa si mchezo
Jamani, kwa kuangalia hicho ki-emoticon 🙂heh🙂 mlitakiwa mjue kwamba kuna lugha fulani ya mzaha ilitumika kunogesha mjadala. Ukweli ni kwamba nafahamu kuwa honey badger has been named world's most fearless animal by the Guinness Book of World Records.
Unataka kuanza shuhuli za ujangili eeh...
Baada ya simba/chui kuua mnyama yeye anachofanya ni kukaa pembeni akimwangalia simba anakula nyama akishashiba fisi ndiyo anaopoa mzoga!
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh: