bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,220
- 20,140
soon utatembea una ongea peke yakoMkuu naomba hayo mambo 10 uliyosema ndio Utapeli wa QNET nipe kwa namba tafadhali mana hapa nilipo nimeshashawishiwa niuze hata kiduka changu ilimrandi nipate ile milioni 5,300,000/= ninunu ile bidhaa., yaani hivi naandika naamini majibu yako ndio yatakayonipa jibu rasmi niuze duka langu nikanunue au niachane na QNET kabisa.