Makapuku Forum

Makapuku Forum

Typo na mambo yasiyoeleweka yameanza tena. Mkongoman njoo huku uendelee kusahihisha makosa haya. Ikibidi utafute na kibwagizo kabisa na ikishindikana tumia tu hata kile cha Faiza..."Huko shuleni mlienda...."

Unashagadia = unashadadia
Vipi shedede, umepanick nini? Ni utani tu mkuu wangu. Nothing less, nothing more. Have a nice day!
 
wakuu natanguliza salaam... wakubwa na wadogo heshima kwenu viongozii

nawashukuru sana familia hii pendwa kwa love ya kutosha mnenifikisha hapa nilipo ..i thanks all

japo ubize unakuwa mwingi ila tukibahatisha network kama hivi cha kwanza ni kujua familia inaendaje ..

love you all ...japo nimeskip pages
Oyoooooo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom