Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii mikopo ilimfanya rafiki yangu mpaka leo amekuwa masikini
Alichukua mkopo akitegemea afungue ofisi na akafanikiwa kufungua ofisi ila akakosa wateja mda wa kurudisha mkopo akawa hana hela ikamlazimu kukimbia mji na dhamana aliweka kiwanja
Mikopo ni hatari sana kama hujui cha kufanya
 
hivi kwanini demand ya kitu ikipanda watu hupandisha bei mf. tikiti maji awali iliuzwa 1500 hadi 1000 demand ikipanda linauzwa 2000 hadi 2500 mpaka 3000 na kama iyo bidhaa imeadimika sokoni inaweza uzwa mpaka 5000 kiangazazi aisee

ila yakiwa mengi hata kwa miambili utapata mawili biashara ya kilimo inaitaji moyo kweli kweli ......
Mkuu kuadimika kwa kitu ndo hujulisha thamani yake sokoni maana kinakuwa kinahitajika ila hakipo na hapo ndo mfanya biashara hujitosa kwenda kutafuta mahali popote ilipo na hapo akifika nayo mjini huipandisha thamani
 
hivi kwanini demand ya kitu ikipanda watu hupandisha bei mf. tikiti maji awali iliuzwa 1500 hadi 1000 demand ikipanda linauzwa 2000 hadi 2500 mpaka 3000 na kama iyo bidhaa imeadimika sokoni inaweza uzwa mpaka 5000 kiangazazi aisee

ila yakiwa mengi hata kwa miambili utapata mawili biashara ya kilimo inaitaji moyo kweli kweli ......
Biashara ya kilimo /mazao ya biashara inahitaji hesabu za majira basi,
Usipoendana na majira inakula kwako
 
Unajua biashara zetu nyingi zinamatatizo sana, upembuzi yakinifu haufanyiki

Hata aliyesoma anafanya kama mtu hajasoma vile, ni wachache sana waozichambua biashara na namna ya kuzifanya
Tatizo biashara sio kwenye makaratasi biashara ni ubunifu unao hitaji mabadiliko ya muda wowote

Biashara ya makaratasi inakuja baada ya kuwa wazo la kibunifu linafanya kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom