Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kweli mkuuBiashara ya kilimo /mazao ya biashara inahitaji hesabu za majira basi,
Usipoendana na majira inakula kwako
Kweli mkuuBiashara ya kilimo /mazao ya biashara inahitaji hesabu za majira basi,
Usipoendana na majira inakula kwako
Shangaa na wewe mke mweeC ww baba au kna mwingine
hapana sijafikisha chochote mimi shemelaUmechelewa tu kumwambia
Labda shemela shunie ameyafikisha kisiri siri
Karibu lee, mimi na Mama Mchungaji(Mchuchu) tumiku-miss sanawakuu natanguliza salaam... wakubwa na wadogo heshima kwenu viongozii
nawashukuru sana familia hii pendwa kwa love ya kutosha mnenifikisha hapa nilipo ..i thanks all
japo ubize unakuwa mwingi ila tukibahatisha network kama hivi cha kwanza ni kujua familia inaendaje ..
love you all ...japo nimeskip pages
Unakuwa unafanyia mkopo tuYaani mikopo mi huwa naipinga sana hasa kwa wajasilimali ndo sumu zaidi
njema kabisa mkuuNjema afande habari za lindo
Aliuchukua kwenye saccos ya katahuo mkopo alikopa bank au
Shemela si umeelewa jamaniShangaa na wewe mke mwee
ningalikuwa mlinzi ningaliuliza kwa makiniLee popote ulipooo nitafuteee
Ni kweli ila kuna wakulima wametusua maisha kwa kilimona ndomana mkulima kuja kutusua maisha na juhudi zake binafsi sana..
Bond kiwanja aiseeAliuchukua kwenye saccos ya kata
nimeelewa shemela itabidi nirudishe avatar yanguShemela si umeelewa jamani
aisee pole yake unapo chukua mkopo bank lazima uwe na vision aisee ukienda kichwa kichwa utaishia kukimbia deni tuAliuchukua kwenye saccos ya kata
Unaweza kuuliza kwa nia njema tuningalikuwa mlinzi ningaliuliza kwa makini
hivi ulinzi umeshaacha eenhningalikuwa mlinzi ningaliuliza kwa makini
Kwani umemwekea nini moyoniata mimi nimemuona kaja kaondoka hata sijamwambia ya moyoni ... ... ...
sasa hapo kiwanja kimechukuliwa na bank na pesa hajaifanyia kituBond kiwanja aisee
umesahau boss kazi nilimpatia shululu jana ile ilehivi ulinzi umeshaacha eenh