Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
baba mchuchu mimi nahusikaje hapo
baba mchuchu mimi nahusikaje hapo
[emoji120]Ahsante Shunie
hahahhahNimeona et
safi mke mwe za ww mumeo jana alikumiss sanaHbr ya mchana mke mweee
Namshkuru Mungu dearMie cjambo mamy cjui ww
Sanaaaamko vizuri
[emoji120] [emoji120]Mungu akutie nguvu[emoji120]
shemela wangu mimi apaNiambie kipenzi cha nafisi yangu
[emoji120] [emoji120] ameen mama mchuchuAsante kwa Nukuu Shunie Ubarikiwe[emoji120] Nyerere anaishi milele.
APUMZIKE KWA AMANI J.K NYERERE
Unajua Shunie,hauko peke yako kipenzi,mama zetu wako mbinguni tuendelee kuwaombea ,Mungu atakapotuita,watakua wenyeji wetu hatutahangaika.
Naomba nikutie moyo ,Omba sana kwa ajili ya mama,futa machozi,jitie nguvu na moyo mkuu,zidisha maombi juu yake,yeye anakuona na anatabasamu na anakupenda sana ila Mungu aliamua maana alimtengenezea makao mengine,Mungu alikua na kusudi na mpendwa mama.
PUMZIKA KWA AMANI MAMA SHUNIE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAMA BLESSEDHOPE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI WAMAMA WOTE WA MAKAPUKU WALIOTANGULIA[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU WOTE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
TUNAWAPENDA SANA[emoji7] [emoji7]
Pole sana Mama mchuchu Mungu ampumzishe mahali pema peponi mama yetu [emoji120] ameenHAKUNA KAMA MAMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] LOVE YOU MAMAYANGU HUKO ULIKO PUMZIKA KWA AMANI,NAKUPENDA SANA MAMA,NAYAFANYA YOTE ULIYOYAFANYA KWANGU KWA WAJUKUU ZAKO,NAJISIKIA FAHARI KUWA BINTI YAKO..TUTAONANA TENA MAMA KIPENZI LOVE YOU MUM...LOVE SWEETIE MUM..LOVE YOU ALWAYS .[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji257] [emoji257]
love u too mama mchuchuLove you binti yangu,marahaba dear
Inawezekana ujue4yrs.
[emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee pole sana mama mchuchu kwa mapaka nashkuru kwa kunikabidhi kwenye maombi mama angu [emoji120]Polee nilikua nakemea mapaka yaani sijalala leo yamesumbua sana,samahani kuchelewa ila nilikuombea
mama mchuchu ujue binamu anateseka sana hakubaliani na matokeo kama ww wa mukongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee [emoji134] [emoji134] wewe huyo ndio umeongea haya mazito kweli mapenzi kitu kingine kwahyo baba mchuchu unaniombea niachwe kweliiii we si ndio mushenga wanguUtangoja sana!!!.....ni rahisi lee kukupiga kibuti kuliko hilo uombealo.....si ajabu umeachwa kwenye mataa[emoji124]
leo hutaki kuwachanganya watu na avatar? make ulikuwa hupendii kuwachanganya watu ...ila thanks[emoji85] [emoji85]
Shemela siamini ujue kama ndio yeye mchawi mtu ujue shemelaCc shunie, maneno ya mshenga hayo
hongera na ww tatizo unapotea sanaHata Mimi ni Chelsea ni chama langa la damuni katika ulimwengu wa soka.....