Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tena na huu Umagufool ni hatari kuchukua mikopo ambayo ina risk kubwa
Sijui watarudishaje
.......
Hii mikopo ilimfanya rafiki yangu mpaka leo amekuwa masikini
Alichukua mkopo akitegemea afungue ofisi na akafanikiwa kufungua ofisi ila akakosa wateja mda wa kurudisha mkopo akawa hana hela ikamlazimu kukimbia mji na dhamana aliweka kiwanja
 
Na hizi mvua ndio hatari kabisa, hata 200 watauza,

Jamaa yangu kayalima upande wa saadan,hana hamu na kilimo hicho tena
hivi kwanini demand ya kitu ikipanda watu hupandisha bei mf. tikiti maji awali iliuzwa 1500 hadi 1000 demand ikipanda linauzwa 2000 hadi 2500 mpaka 3000 na kama iyo bidhaa imeadimika sokoni inaweza uzwa mpaka 5000 kiangazazi aisee

ila yakiwa mengi hata kwa miambili utapata mawili biashara ya kilimo inaitaji moyo kweli kweli ......
 
Hii inawafanya wanao iga kuwa watu wakulaumu kila siku huku mwenye wazo la kibunifu akichanja mbuga na maendeleo yake

Na kuna wakati kupiga kunatufanya tuingie katika mikopo ambayo inakuja kutugarimu na mwisho wa siku tunaanza kumtafuta mchawi
Unajua biashara zetu nyingi zinamatatizo sana, upembuzi yakinifu haufanyiki

Hata aliyesoma anafanya kama mtu hajasoma vile, ni wachache sana waozichambua biashara na namna ya kuzifanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom