Makapuku Forum

Makapuku Forum

kwelii watu wamesomea agriculture lakini ku-plactice walicho kisoma kazi kweli kweli aisee ... ... ...
Yaani nimekutana na rafiki yangu mmoja kasomea masoko nikamwambia nina bidhaa nitafutie soko kashindwa anaogopa kuwafuata Wateja sasa nikajiuliza alisomea masoko au aliongezea idadi ya wanafunzi chuoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom