Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante kwa Nukuu Shunie Ubarikiwe Nyerere anaishi milele.

APUMZIKE KWA AMANI J.K NYERERE

Unajua Shunie,hauko peke yako kipenzi,mama zetu wako mbinguni tuendelee kuwaombea ,Mungu atakapotuita,watakua wenyeji wetu hatutahangaika.

Naomba nikutie moyo ,Omba sana kwa ajili ya mama,futa machozi,jitie nguvu na moyo mkuu,zidisha maombi juu yake,yeye anakuona na anatabasamu na anakupenda sana ila Mungu aliamua maana alimtengenezea makao mengine,Mungu alikua na kusudi na mpendwa mama.

PUMZIKA KWA AMANI MAMA SHUNIE

PUMZIKA KWA AMANI MAMA BLESSEDHOPE

PUMZIKA KWA AMANI WAMAMA WOTE WA MAKAPUKU WALIOTANGULIA

PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU WOTE

TUNAWAPENDA SANA
Amen
 
poleni sana najua jinsi inauma. mda unafika unataka kumtunza bahati mbaya hayupo.
 
Asante kwa Nukuu Shunie Ubarikiwe Nyerere anaishi milele.

APUMZIKE KWA AMANI J.K NYERERE

Unajua Shunie,hauko peke yako kipenzi,mama zetu wako mbinguni tuendelee kuwaombea ,Mungu atakapotuita,watakua wenyeji wetu hatutahangaika.

Naomba nikutie moyo ,Omba sana kwa ajili ya mama,futa machozi,jitie nguvu na moyo mkuu,zidisha maombi juu yake,yeye anakuona na anatabasamu na anakupenda sana ila Mungu aliamua maana alimtengenezea makao mengine,Mungu alikua na kusudi na mpendwa mama.

PUMZIKA KWA AMANI MAMA SHUNIE

PUMZIKA KWA AMANI MAMA BLESSEDHOPE

PUMZIKA KWA AMANI WAMAMA WOTE WA MAKAPUKU WALIOTANGULIA

PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU WOTE

TUNAWAPENDA SANA
Wapumzike kwa amani ameni
 
HAKUNA KAMA MAMA LOVE YOU MAMAYANGU HUKO ULIKO PUMZIKA KWA AMANI,NAKUPENDA SANA MAMA,NAYAFANYA YOTE ULIYOYAFANYA KWANGU KWA WAJUKUU ZAKO,NAJISIKIA FAHARI KUWA BINTI YAKO..TUTAONANA TENA MAMA KIPENZI LOVE YOU MUM...LOVE SWEETIE MUM..LOVE YOU ALWAYS .
Apumzike kwa amani,Zaidi ni kumuombea Mungu amrehemu hauko pekeako mama mchungaji ni tulopoteza mama zetu wapenzi,kazi ya Mungu haina makosa
 
NUKUU YA LEO
Everything that we see is a shadow cast by that we do not see.
yakiwa na maana kila kitu tunachokiona ni kivuli cha muhusika asieonekana

hayo maneno yaliwahi tamkwa na Martin Luther King

45e0ad960a8e7b553b70e164a0edaf8f.jpg

muwe na siku njema mbarikiwe
T shemela wangu nakuwakilisha kwenye nukuu kama nakosea utanisamehe.
Hiyo imekaa vzr sana... Tahadhari ni ya mhimu sana kwa kila jambo na maamuzi yake!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom