Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf hatoki mbaliMchawi mtu oyooooooo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf hatoki mbaliMchawi mtu oyooooooo[emoji23]
Kikulacho???..........[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu ulikua huonyeshi ushirikiano kwa mtto wa watu we busy na kwa mama mchuchu tu ebu angalia shedede yupo busy nae
Ni mambo ya genetic/hormone tu hayoDaah yaan najiuliza alivunja ungo akiwa na umri gani
[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji124]Roho yako binamu ipo hapa [emoji23][emoji23]
kinguoni mwako [emoji23][emoji23][emoji23]Kikulacho???..........[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji124]
Sijawahi kusikiaKuna tetesi huyu Mzee walimuhasi alipokuwa Uingereza.
Hajawahi kuwa na mtoto
[emoji4] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke wa mtu huyo binamu muke ya mukongo
Hata thread ya makapuku isingekuwepoUngabure angetupiga ban daily
[emoji4]Hata siweki kwa taarifa yako sasa[emoji57]
Cc shunieUlozi na Neno wapi na wapi???
Wewe na BH ni mafuta na maji kamwe hamwezi changanyika!!!
Hii ni K.O takatifu!!! [emoji120]
cc: all[emoji123] [emoji12] [emoji443] [emoji445] [emoji444]
Aliwauwa sana na alisema hivi nachokifanya sasa hamuwezi kukijua, ila baadaye mtaelewa
Swali, je asinge wauwa Dunia leo hii ingekuwaje?
[emoji57]Khaaa huyu wa mukongo naona mukongo kuibiwa
HaaaaahaaaaWoyoooooooo yaan baba mchuchu nakuona unavuochukuliwa mama mchuchu wako
Ni jina kubwa sana, halafu unaambiwa Banda alikiwa na sifa zote za udikteta.Sijawahi kusikia
Pia sikujua km hajawahi kupata mtoto ila jina la Banda huko Malawi ni lulu
......
Wapo, kuna mama mmoja amezaa mtoto akiwa na 49, unaweza kudhani mjukuu wake kumbe ni mtotoNi mambo genetic/hormone tu hayo
Wapo wanaozaa wakiwa na zaidi ya miaka 50 pia
......
Haaaaahaaaa, anaipenda USA huyo aiseeHata thread ya makapuku isingekuwepo
Pia thread za kuiponda USA zote zingefutwa
......
Hiyo nayo kaliNi jina kubwa sana, halafu unaambiwa Banda alikiwa na sifa zote za udikteta.
View attachment 509212
Baada ya kifo chake kuna dogo akajitokeza akidai yeye ni mtoto wa Banda
Kwema, za hapo ulipoh?Jaman kwema hapa