BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
NGUVU YA MSAMAHA1981 - Mehmet Ali Agca anajaribu kumuua Papa John Paul II kwa kumpiga na risasi katika eneo la St Peter Square huko Jijini Rome.
Ali raia wa Uturuki alihukumiwa kifungo cha maisha jela, lakini mara baada ya kutumikia miaka 19 jela nchini Italy alisamehewa lakini akahamishiwa nchini kwake ambapo alitumikia miaka 10 mingine na kuachiwa huru mwaka 2010.
Papa John Paul II alimtembelea Ali jela kumjulia hali nankumuambia amemsamehe.
Hii ilimfanya Ali alipotoka jela mwaka 2010 kwenda kuzuru kaburi la Papa na alilia sana.
TUSAMEHE BILA KUCHAGUA TULICHOKOSEWA