Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa tutajitahidi kukutag

Ila huwa naona una wasidizi wengi(natania)

Kazi yao ndio hiyo,si unajua kusudi la Mungu kukupa msaidizi,ni kanuni ya kibiblia...

MWANZO 2

18.BWANA MUNGU akasema ,si vyema huyo mtu awe peke yake ,nitamfanyia maid oz I wa kufanana naye.


Wasaidizi wanapaswa kuchukua majukumu yao.
wasaidizi wepi hao mama
w
 
b0c94a7e9182ccf717a3f85261b35080.jpg
634c108241e8a153f4fbcb55bb8cbc2f.jpg

Tukutane jioni kwenye 10 kubwa
Mwisho
..........
Asante sana nimejifunza mengi sana ubarikiwe
 
ZABURI 143

8.Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi ,Kwa maana nimekutumainia Wewe Unijulishe njia nitakayoiendea ,Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.

TUOMBE

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi asante kwa siku mpya ya leo na kutuamsha salama,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo walikua na mipango mingi na maono mbalimbali lakini hawajaweza ,wengine umewaita,wengine ni mahututi vitandani,wengine wanachangamoto mbalimbali Baba sisi ni nani hatuna cha kukupa zaidi ya kusema Asante

Tunaomba utusamehe makosa yote tunayotenda kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twa kusihi.

Waponye wagonjwa,fariji wafiwa,watie nguvu yatima,wajane ,wahitaji wakutumainie wewe tu.

Tunakabidhi mapito yetu yote,nyoosha njia zetu Baba tunajikabidhi kwako tujulishe njia sahihi ya kuiendea siku yaleo

Tunaomba maafa ya mvua yaishe ponya majeraha yote ya mafuriko,maporomoko,mvua isiyokoma ,neema yako itawale.

Bariki wasafiri majini ,nchi kavu na angani wafike salama

Tunaomba Amani na Upendo vitawale

Tunaomba bariki kazi za mikono yetu
Tunaomba Roho Mtakatifu atuongoze ,tusipungukiwe.

Katika jina la Yesu tunaomba na kushukuru Amen

Raha ya milele uwape marehemu wote,na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani Amen

SIKU NJEMA WAPENDWA
Amen
 
Dar imenyesha huku kwetu,hakika nimekesha namshukuru Mungu na kumwambia Baba imetosha kwa wiki hii,jana kuna mtu amekufa maji jangwani masikini nimeona anavyotolewa nimeumiaaa maana alikua anahangaika kuokota machupa auze apate riziki,maji yamekatisha uhai wake
Mungu amrehemu
 
Jamani eeh! Shedede kapotea. Sasa Husna utamsubiri mpaka lini? Wakati mijibaba tena ya nguvu tupo hapa? Shunie rekebisha mambo please ili Shimba na Husna IKIWEZEKANA wawe couple mpya hapa Makapuku. Husna (jina zuri hili!) unasemaje?
681724ef88669821d873049b5ddb4eee.jpg
yaaani wewe unaroho mbya ambayo sijawahi kuiona jf khaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom