Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hongera Masanja,Hongera Lulu ila kuhusu mimba ni muhimu sana kuitunza kwanza,zamani tulifundishwa kuwa hatupaswi kuzungumzia wazi sana kuhusu hali za ujauzito zaidi ya hospitali(kwa ajili ya vipimo,ushauri,ufuatiliaji) wazazi,mume,na watu unaotegemea wahusike kwenye safari yako ya kuwa mama,au baba sijui siku hizi mtaala wanaotumia watoto wetu ni version ipi..Mungu awasaidie[emoji120]
 
Asante mama mchuchu nitaufanyia kazi huu ushauri [emoji120]
 
Kibaha kwema, japo kulikuwa na mvua asubuhi, lakini sasa pako Safi
Dar imenyesha huku kwetu,hakika nimekesha namshukuru Mungu na kumwambia Baba imetosha kwa wiki hii,jana kuna mtu amekufa maji jangwani masikini nimeona anavyotolewa nimeumiaaa maana alikua anahangaika kuokota machupa auze apate riziki,maji yamekatisha uhai wake[emoji120]
 
Jamaan inasikitisha aseee
 
Back
Top Bottom