Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hongera Masanja,Hongera Lulu ila kuhusu mimba ni muhimu sana kuitunza kwanza,zamani tulifundishwa kuwa hatupaswi kuzungumzia wazi sana kuhusu hali za ujauzito zaidi ya hospitali(kwa ajili ya vipimo,ushauri,ufuatiliaji) wazazi,mume,na watu unaotegemea wahusike kwenye safari yako ya kuwa mama,au baba sijui siku hizi mtaala wanaotumia watoto wetu ni version ipi..Mungu awasaidie
Maneno mazuri sana mama mchungaji

Ubarikiwe sana
 
tapatalk_1494517760699.jpeg
 
OMBI....OMBI....OMBI!!
Kutokana na thread kuwa na post/comment/reply nyingi kuliko yoyote ile humu JF na kufuatiliwa na watu wengi na kuwa na spidi kubwa ya watu kupost hivyo.....
Napendekeza kila mwenye segment/mada/kipindi humu abuni au awe anaanza na title/heading/kichwa cha habari/utambulisho.....inapendeza zaidi kichwa cha habari likiwa kifupi
Hii itarahisisha wale wanaopenda vipindi fulani kuweza kufuatilia kwa urahisi hata kama wamechelewa maana watasearch hii option linapatikana kule juu pembeni Julia kwenye kila thread
Mfano iwe;
*Leo katika historia
*Unbelievable Facts
*Nukuu ya Leo
*Neno la asubuhi
*Magazeti ya Leo
*Burudani ya usiku
*Top Ten
*Je Wajua ?
*Did you know ?
*viwanjani Leo
*Vunja mbavu
n.k
Viandikwe kwenye utangulizi/post ya kwanza
.
.
.
Natanguliza shukrani
Nawatakia asubuhi njema
By
Nyangema
...........
 
OMBI....OMBI....OMBI!!
Kutokana na thread kuwa na post/comment/reply nyingi kuliko yoyote ile humu JF na kufuatiliwa na watu wengi na kuwa na spidi kubwa ya watu kupost hivyo.....
Napendekeza kila mwenye segment/mada/kipindi humu abuni au awe anaanza na title/heading/kichwa cha habari/utambulisho.....inapendeza zaidi kichwa cha habari likiwa kifupi
Hii itarahisisha wale wanaopenda vipindi Fulani kuweka kufuatilia kwa urahisi hata kama wamechelewa maana watasearch hii option linapatikana kule juu pembeni Julia kwenye kila thread
Mfano iwe;
*Leo katika historia
*Nukuu ya Leo
*Neno la asubuhi
*Magazeti ya Leo
*Burudani ya usiku
*Top Ten
*Je Wajua ?
*Did you know
*viwanjani Leo
*Vunja mbavu
n.k
.
.
.
Natanguliza shukrani
Nawatakia asubuhi njema
...........
Asante Ubarikiwe,umeamshwaje lakini,umepona mafuriko?Mungu akutunze
 
Umesomeka mvuvi, mambo vip lakini
 
sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom