Mimi naingia humu kwa ratiba maalumuWewe unayo?![]()
AsanteRatiba ya mechi za leo inakujieni
Njema za uzima ubarikiweHabarini za alasiri Makapuku

SAWA wewe na sisi hatuko sawa,hivyo hatuwezi kufanya vitu vinavyofanana ,tumeumbwa tofauti ,tunahitajiana ndio maana unakuja huku kwa ratiba maalumu maana wapo watu tofauti na wewe unawahitaji na una uhakika utawakuta kwa hilo tumshukuru Mungu ..karibu sana.Mimi naingia humu kwa ratiba maalumu
Poa hbr ya kazisafi tu mke mwee za ww
Shukrani mkuu shululu kwa magazeti na udhamini wa BlessedHopeSina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji BH, nawatakieni wote ijumaa njema
Njema za uzima ubarikiwehabari za saa hii
Kazi gani unayo zungumziaHivi makapuku huwa Hamna kazi eeh,
Ni kweli we uitoe siri yako ili akutunzie naniNgoja leo nimsaidie T kidogo najua sitakuangusha shemela wange
NUKUU YA LEO
Usitegemee mtu akutunzie siri ambayo wewe mwenyewe umeshindwa kuitunza hadi ukaenda kumwambia yeye.
haya maneno yamewahi tamkwa na Masanja Mkandamizaji
Ni mume wa dada aitwae Monicca
![]()
muwe na siku njema mbarikiwe.

Asante kwa Nukuu Shunie ni zaidi ya NukuuNgoja leo nimsaidie T kidogo najua sitakuangusha shemela wange
NUKUU YA LEO
Usitegemee mtu akutunzie siri ambayo wewe mwenyewe umeshindwa kuitunza hadi ukaenda kumwambia yeye.
haya maneno yamewahi tamkwa na Masanja Mkandamizaji
Ni mume wa dada aitwae Monicca
![]()
muwe na siku njema mbarikiwe.

Nan anaeingia bila ratibaMimi naingia humu kwa ratiba maalumu