Makapuku Forum

Makapuku Forum

DID YOU KNOW ?
e8a4b38980cb51ebce90d3541ba2ee17.jpg

cc CHAPUTA

.......
Am afraid ngoja kwanza!
 
Habari za asubuhi wandungu.
hope mko fresh

OMBI LANGU KWENU
Yoyote atakaye kua anapost segment yoyote naomba anitag tafashari
Hiyo ni kutokana na mida ninayo ingia hu nakuta replies nyingi
Nawaombeni sana ndugu zangu
post iwafikie
Bitoz
Transcend
shululu
Obe
Nyagei
Blessed hope
Ahsanten
Sawa bosi tumekusikia
Mi nitaanza leo jioni kukutag kwenye 10 kubwa
........
 
Habari za asubuhi wandungu.
hope mko fresh

OMBI LANGU KWENU
Yoyote atakaye kua anapost segment yoyote naomba anitag tafashari
Hiyo ni kutokana na mida ninayo ingia hu nakuta replies nyingi
Nawaombeni sana ndugu zangu
post iwafikie
Bitoz
Transcend
shululu
Obe
Nyagei
Blessed hope
Ahsanten
Sawa tutajitahidi kukutag

Ila huwa naona una wasidizi wengi(natania)

Kazi yao ndio hiyo,si unajua kusudi la Mungu kukupa msaidizi,ni kanuni ya kibiblia...

MWANZO 2

18.BWANA MUNGU akasema ,si vyema huyo mtu awe peke yake ,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.


Wasaidizi wanapaswa kuchukua majukumu yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom