Makapuku Forum

Komredi Mugabe, Simba wa Afrika kama sio Jabali la Afrika anayeamini katika ukale.

Huyu nae ni Rais wa Maisha. Kila mwezi lazma aende China mara 2 mpaka 3 kutibiwa kutokana na maradhi yanayomkabili.

Kwa Zimbabwe, Urais ni Mugabe na Mugabe ni Urais. Ni pande mbili za shilingi moja ambazo huwezi kuzitenganisha.
 
Poleni mkuu Mussolin5
 
Pia mwanzoni mwa utawala wake Zimbabwe ilikuwa na mwelekeo mzuri kimaendeleo
Kilichomponza ni kugusa maslahi ya Wazungu/Walowezi kwa kuwanyanganya ardhi na kuitaifisha hivyo ili kumkomesha ndio wakaanza kumfanyia figisu na sasa ni nchi kinara wa umaskini duniani
Wazingu ukiyagusa maslahi yao tu umekwisha
.........
 
Asante kwa nyongeza mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…