Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Paul Biya
b7c7353d9e2869edb0f566f288cd7349.jpg
588ece898a83e67cbed21071d5a2f414.jpg

Huyu ni Rais wa Cameroon ambaye amezaliwa Februari 13 mnamo mwaka 1933
Ndiye anashikiria rekodi ya Rais wa kuchaguliwa aliyepo madarakani muda mrefu zaidi wa miaka 33 yaani anashinda kila uchaguzi ukifanyika
Ana umri wa miaka 84
.............
Ana mke mzuri wa sura na umbo,kama anaongoza viziri atakua mshauri mzuri pia.
 
9/Akihito
15e530e0f4dffaefebb9c580ceb61a14.jpg
0fc4ca224631331e7ec6ae40481c857a.jpg

Huyu ni Mfalme wa Japan aliyezaliwa mnamo Desemba 23 mwaka 1933
Alianza kuirawala Japan kuanzia mwaka 1989 baada ya kifo cha Mfalme Hirohito ambaye alikuwa ni babaye
Anafahamika zaidi nchini humo kutokana na machapisho yake
Ana umri wa miaka 83 lakini kwa huko Japan ni km kijana tu maana kuna vikongwe kibao vyenye zaidi ya miaka 100
.........
Yuko vizuri,wanakula natural sana,mazoezi,meditation ,yoga inawasaidia kiafya
 
Pia mwanzoni mwa utawala wake Zimbabwe ilikuwa na mwelekeo mzuri kimaendeleo
Kilichomponza ni kugusa maslahi ya Wazungu/Walowezi kwa kuwanyanganya ardhi na kuitaifisha hivyo ili kumkomesha ndio wakaanza kumfanyia figisu na sasa ni nchi kinara wa umaskini duniani
Wazingu ukiyagusa maslahi yao tu umekwisha
.........
Ndiyo maana the little fat boy wa North Korea ana wafuasi wengi duniani. Amegangamara dhidi ya ubabe wa Marekani na kiburi hiki kinaleta msisimko japo gharama yake yaweza kuwa kubwa hasa kwa wananchi wake. Anawachachafya na hawawezi kumfanya walichowafanyia akina Gaddafi, Saddam Hussein, Nkrumah, Lumumba na mamilioni mengine ya raia hapa duniani walioathirika na siasa zao za kibabe.

Mugabe hakujipanga vizuri. Huwezi kunyang'anya shamba la ekari 5,000 fully mechanized ukawagawia watu ambao hawana ujuzi na kilimo cha kisasa kisa tu wana ngozi nyeusi. Haikuchukua hata miaka mitano kwa Zimbabwe kutoka kuwa basket of Africa mpaka kuwa ombaomba wa chakula. Kupambana na hawa jamaa siyo lelemama ndiyo maana hata huyu dogo wa Korea imebidi awe na maslaha haya makali ili angalau kupata leverage kidogo...
 
Ndiyo maana the little fat boy wa North Korea ana wafuasi wengi duniani. Amegangamara dhidi ya ubabe wa Marekani na kiburi hiki kinaleta msisimko japo gharama yake yaweza kuwa kubwa hasa kwa wananchi wake. Anawachachafya na hawawezi kumfanya walichowafanyia akina Gaddafi, Saddam Hussein, Nkrumah, Lumumba na mamilioni mengine ya raia hapa duniani walioathirika na siasa zao za kibabe.

Mugabe hakujipanga vizuri. Huwezi kunyang'anya shamba la ekari 1,000 fully mechanized ukawagawia watu ambao hawana ujuzi na kilimo cha kisasa. Haikuchukua hata miaka mitano kwa Zimbabwe kutoka kuwa basket of Africa mpaka kuwa ombaomba wa chakula. Kupambana na hawa jamaa siyo lelemama ndiyo maana hata huyu dogo wa Korea imebidi awe na maslaha haya makali ili angalau kupata leverage kidogo...
bd012cce26272273a4d094e9cfee2b5f.jpg

Tpfauti ya NK na Z
Ni kwamba NK inajitegemea kwa mambo mengi mfano teknolojia
Pia huko NK sio rahisi CIA kumpata kibaraka wa kumtumia kuanzisha chokochoko
.......
 
Nilitegemea awepo kwenye list.

Amekula chumvi ya kutosha. Nafikiri katika maisha yake hajui kitu kinaitwa shida, njaa, tabu nk.

Kwa faida ya wote:

Malkia Elizabeth hajawahi kurudia nguo wala vito vya thamani anavyovaa.

Ndio mtu anayemiliki ardhi kubwa zaidi duniani.

Pia ni mkuu wa nchi za Canada na Australia.
.....hayo maisha yaliyo mteremko hivyo, sometime kama maisha yanakosa something sijui nini/utamu/thamani I don't know what can I say!!!.....af yote ni ubatili tu chini ya jua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom