Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Umetumwa weweHuu Uzi unaniudhi
Umetumwa weweHuu Uzi unaniudhi
Nilitegemea awepo kwenye list.2/Malkia Elizabeth II![]()
![]()
Buyu bibi amezaliwa tarehe21/04/1926(miaka minne baada ya kuzaliwa Mwalimu JK Nyerere)
Ndiye Malkia wa Uingereza kuanzia mwaka 1952
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia aliebda vitani akiwa kama dereva na makenika
Ndiye bibi wa watoto wa Princess Diana akina Prince William na Harry
Ni mama wa Prince Charles
Ana umri wa miaka 91
...........
Shangazi usipende kuja huku please kwa sababu watakutongoza jamani!Nimemis mnooo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kama angekuwa analala kwenye deka sijui ingekuwaje![]()
![]()
![]()
Anakua huyo
akijbu nitag mkuuShikamooo![]()
![]()
![]()
Unakunywa sharubati gani?Nimekaribia
Hatari sana5/Bhumibol Abulyadej![]()
![]()
Huyu kazaliwa Desenba 05 1927
Ndiye Mfalme wa Thailand japo madaraka yake yamepunguzwa
Aluanza kuwa Nfalme mnamo mwaka 1946
Sheria za Thailand zinakata kuujadili umri wa Mfalme hivyo naishia hapo(itamke wewe mwenyewe)
.........
daah umechelewa mkuu, mbona ana mume humu tayariShangazi usipende kuja huku kwa kuwa watakutongoza jamani!
alafu ingawa amekula chumvi nyingi lakini yupo fit kimwili, hata ukimuangalia uwezi kuamini kabisa umri na muonekano wakeNilitegemea awepo kwenye list.
Amekula chumvi ya kutosha. Nafikiri katika maisha yake hajui kitu kinaitwa shida, njaa, tabu nk.
Kwa faida ya wote:
Malkia Elizabeth hajawahi kurudia nguo wala vito vya thamani anavyovaa.
Ndio mtu anayemiliki ardhi kubwa zaidi duniani.
Pia ni mkuu wa nchi za Canada na Australia.
Nzuri,zi mhhira?za jioni mazeiya
Af kuna mtu anaitwa Zoe SaldanaJe wajua?
ZOE ndie Pundamilia pekee aliyebakia duniani, ana macho ya Blue na mistari ya Dhahabu
shikamoo ya niniShikamooo![]()
![]()
![]()
lee mwenyewe sio mnywaji kiivyowangoni si wanapenda hizo vitu, asa nikajua amekufundisha