Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Acheni umagharibiUzi mweusi unaashiria msiba( natania tu )
wacha wanuke wasiiogaacha unuke kama wolper
Mimi hii mvua sijaoga siku 3kwahiyo kunuka ndio afya hapana aisee kama kuoga kwa siku ni madhara acha tuzulike na hivi tunaoga mara mbili mpk 3
Uwiii ntaachaje asili sasatoo much kilugha mama hapendi kaniambia salimianeni tu inatosha
Pole sana mkuuTarehe kama ya leo:
2010 - Binamu yangu anafariki Dunia kifo cha ghafla.
Hakika ni majonzi na simanzi kubwa alituachia ukizingatia siku ya kifo chake alishinda salama na akiwa na uchangamfu wa kutosha tu. Kumbe usiku wake anaenda kututoka.
Leo ni miaka 7 toka ututoke Duniani, daima unakumbukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Pengo lako bado halijazibika.
Pumzika kwa amani, bado tunakuombea na iko siku tutaonana tena. Gone but never forgotten.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
AmenTarehe kama ya leo:

Apumzike kwa amaniTarehe kama ya leo:

Cc.shemela shululuHaswaaaa![]()
![]()
R.i.p pole sana mussolinTarehe kama ya leo:
2010 - Binamu yangu anafariki Dunia kifo cha ghafla.
Hakika ni majonzi na simanzi kubwa alituachia ukizingatia siku ya kifo chake alishinda salama na akiwa na uchangamfu wa kutosha tu. Kumbe usiku wake anaenda kututoka.
Leo ni miaka 7 toka ututoke Duniani, daima unakumbukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Pengo lako bado halijazibika.
Pumzika kwa amani, bado tunakuombea na iko siku tutaonana tena. Gone but never forgotten.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Msalimiane tu sio sanaaUwiii ntaachaje asili sasa
sawaTOP TEN
Waswahili husema ukubwa dawa japo siyo kila mkubwa ana hekima na busara
Sasa leo tuwaangalie vikongwe vinavyoongoza nchi ...yaani viongozi wazee waliopo madarakani
Haijalishi ni wafalme au marais ...
Karibuni
.........
HayaMsalimiane tu sio sanaa
TOP TEN