Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Unakuja kufanya nn mfyuuu zako na wwUkweli nitasema daima huu Uzi mbaya mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Unakuja kufanya nn mfyuuu zako na wwUkweli nitasema daima huu Uzi mbaya mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Unamuondolea tu kitanda alale chinikama angekuwa analala kwenye deka sijui ingekuwaje
Chumaaa chenyewe1/Robert Mugabe![]()
![]()
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi![]()
Ana imri wa miaka 93
.
.
.
.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
hahahahaakijbu nitag mkuu
lee wangu yupo flat hana kifriji kwani umeambiwa papaa yuleHivi hukuusema ana kifriji???
sitaki ndiooSi nakuamkia au hutaki shikamoo![]()
![]()
![]()
Ya maperaUnakunywa sharubati gani?
Muigizaji huyoAf kuna mtu anaitwa Zoe Saldana
Ahsante mkuu Bitoz kwa top ten1/Robert Mugabe![]()
![]()
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi![]()
Ana imri wa miaka 93
.
.
.
.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
Hizo tumia tu babaCome on son, Camomile na green tea pia nakunywa
Hujakosea mkuuHuyu nimeona Jana katoa msonyo wa ajabu nikakumbuka kati ya watanzania wale wanne mmoja kichaa
DuuhKigoma
Niko nae hapaHaswa![]()
hvi shululu kaenda wap tena
Kuwadi ni cheo ganiSi ulikataa haujatoa jibu mpk unaniuliza mm nimekuwa kuwadi nishampa tumosa ww kaa nikutaftie mwingine
Mondray chiboko yaoAnae baby wake mondray
muulize husnaKuwadi ni cheo gani
tehMondray chiboko yao