Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Viongozi wengi wa Afrika wanajua kucheza vizuri na Wanajeshi.Anashinda kwa 90%+
Huyu jamaa nahisi anajua kula na Wanajeshi ndio maana hawampindui wanaishia kumuangalia tu
.
.
Km Sizonje anavyowabeba wajeda kwenye vyeti feki na pia kuwapa ulaji wa tenda
.......
Ndio maana haishangazi kuona kila Rais anayeingia madarakani lazma achague mkuu wake wa Majeshi ambaye lazma awe rafiki yake.
Na wengine wanavuka mipaka na kuchagua ndugu zao kabisa. Mfano uko wazi kabisa.
