Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
hakuna namna ingine asubiri tuNa akae tu kwenye benchi asubiri
hakuna namna ingine asubiri tuNa akae tu kwenye benchi asubiri
Komredi Mugabe, Simba wa Afrika kama sio Jabali la Afrika anayeamini katika ukale.1/Robert Mugabe![]()
![]()
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi![]()
Ana imri wa miaka 93
.
.
.
.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
Poleni mkuu Mussolin5Tarehe kama ya leo:
2010 - Binamu yangu anafariki Dunia kifo cha ghafla.
Hakika ni majonzi na simanzi kubwa alituachia ukizingatia siku ya kifo chake alishinda salama na akiwa na uchangamfu wa kutosha tu. Kumbe usiku wake anaenda kututoka.
Leo ni miaka 7 toka ututoke Duniani, daima unakumbukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Pengo lako bado halijazibika.
Pumzika kwa amani, bado tunakuombea na iko siku tutaonana tena. Gone but never forgotten.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
We c umeambiwa ukakae kwenye bench usubiri kupangiwa mwingneNiko nae hapa
OkyeeTOP TEN
Waswahili husema ukubwa dawa japo siyo kila mkubwa ana hekima na busara
Sasa leo tuwaangalie vikongwe vinavyoongoza nchi ...yaani viongozi wazee waliopo madarakani
Haijalishi ni wafalme au marais ...
Karibuni
.........
We cheka tu
Mchukue husna yupo bench hapoDuh!!........Mondray ana baby wengi sana:Husna Muba,Valentina,Paprika na sasa hivi Shangazi Ukhuty!!......Mondray nipe hapo mmoja please!
Asante mkuu.Poleni mkuu Mussolin5
Anaonekana Yanki!8/Paul Biya![]()
![]()
Huyu ni Rais wa Cameroon ambaye amezaliwa Februari 13 mnamo mwaka 1933
Ndiye anashikiria rekodi ya Rais wa kuchaguliwa aliyepo madarakani muda mrefu zaidi wa miaka 33 yaani anashinda kila uchaguzi ukifanyika
Ana umri wa miaka 84
.............
Pia mwanzoni mwa utawala wake Zimbabwe ilikuwa na mwelekeo mzuri kimaendeleoKomredi Mugabe, Simba wa Afrika kama sio Jabali la Afrika anayeamini katika ukale.
Huyu nae ni Rais wa Maisha. Kila mwezi lazma aende China mara 2 mpaka 3 kutibiwa kutokana na maradhi yanayomkabili.
Kwa Zimbabwe, Urais ni Mugabe na Mugabe ni Urais. Ni pande mbili za shilingi moja ambazo huwezi kuzitenganisha.
Asante kwa nyongeza mkuu.Pia mwanzoni mwa utawala wake Zimbabwe ilikuwa na mwelekeo mzuri kimaendeleo
Kilichomponza ni kugusa maslahi ya Wazungu/Walowezi hivyo ili kumkomesha ndio wakaanza kumfanyia figisu na sasa ni nchi kinara wa umaskini duniani
Wazingu ukiyagusa maslahi yao tu umekwisha
.........
Hahah, umetishaAngahika kuzitafuta
Hii ni Top Ten hivyo zipo 10
Km huzioni siyo jukumu langu kukuonesha
Thread ina spidi
.....
Nimeiona hiyo papacc: Mndali
4/Abdul Halim of Kedah![]()
![]()
Huyu ni Mfalme/mtawala wa Malaysia aliyezaliwa Novemba 28 mwaka 1927
Ndiye kiongpxi mwenye jina refu zaidi duniani likiwa na maneno/jina 14(nimeshindwa kabisa kuliandika)
Alianza kuiongoza Malaysia tangu mwaka 1957
Ana umri wa miaka 89
..........
Kumbe Mwinyi bado Kijana!!!

Babu!!!3/Beji Caid Essebsi
Huyu ni kiongozi wa Taifa la Tunisia...amezaliwa tarehe 29 Novemba 1926![]()
Kayapata madaraka akiwa na umri wa miaka 88 ilikuwa ni baada ya kuangushwa kwa utawala wa Ben Alli uliodumu kwa miongo kadhaa
Ana umri wa miaka 90
.............
Kwema SemegiKwema shemela