Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Bhumibol Abulyadej
c84330b2416990d6b84c5d5ea5bb38b3.jpg
2f17723e3aab60a4cf78f0596261cff0.jpg

Huyu kazaliwa Desenba 05 1927
Ndiye Mfalme wa Thailand japo madaraka yake yamepunguzwa
Aluanza kuwa Nfalme mnamo mwaka 1946
Sheria za Thailand zinakata kuujadili umri wa Mfalme hivyo naishia hapo(itamke wewe mwenyewe)
.........
Asante sana mkuu bitozi!!!
imetulia
 
9/Akihito
15e530e0f4dffaefebb9c580ceb61a14.jpg
0fc4ca224631331e7ec6ae40481c857a.jpg

Huyu ni Mfalme wa Japan aliyezaliwa mnamo Desemba 23 mwaka 1933
Alianza kuirawala Japan kuanzia mwaka 1989 baada ya kifo cha Mfalme Hirohito ambaye alikuwa ni babaye
Anafahamika zaidi nchini humo kutokana na machapisho yake
Ana umri wa miaka 83 lakini kwa huko Japan ni km kijana tu maana kuna vikongwe kibao vyenye zaidi ya miaka 100
.........
mfalme hirohito aliiponza Japan na kusababisha ipigwe bomu la nyuklia kwa kukataa kusarenda kwenye vita kuu ya pili ya dunia.

Mkuu Bitoz nini siri ya wajapani kuishi miaka mingi hivyo?
 
4/Abdul Halim of Kedah
81ed238a6b128dacb6ffad07ed4abe7c.jpg
2d0a5ce7dc4ba5c5f76ebd703867eed2.jpg

Huyu ni Mfalme/mtawala wa Malaysia aliyezaliwa Novemba 28 mwaka 1927
Ndiye kiongpxi mwenye jina refu zaidi duniani likiwa na maneno/jina 14(nimeshindwa kabisa kuliandika)
Alianza kuiongoza Malaysia tangu mwaka 1957
Ana umri wa miaka 89
..........
 
8/Paul Biya
b7c7353d9e2869edb0f566f288cd7349.jpg
588ece898a83e67cbed21071d5a2f414.jpg

Huyu ni Rais wa Cameroon ambaye amezaliwa Februari 13 mnamo mwaka 1933
Ndiye anashikiria rekodi ya Rais wa kuchaguliwa aliyepo madarakani muda mrefu zaidi wa miaka 33 yaani anashinda kila uchaguzi ukifanyika
Ana umri wa miaka 84
.............
Afrika haijawahi kuniangusha katika siasa. Yeye kika uchaguzi anashinda ikimaanisha watu wanamkubali na kumchagua lakini watu hao hao wanaumaskini wa hali ya juu mno.
 
7/Raul Castro
30296f57c002c8ffff4d90174b57cc03.jpg
459a4a39f4b69709243d211a45ae60bb.jpg

Huyu ni kiongozi wa Cuba aliyezaliwa mnamo Juni 03 1931
Kwa sasa anaiongoza Cuba karibia mwaka wa 10 baada ya kuachiwa madaraka na kakaye Fidel Castro
Wakati wa utawala wa Fidel Castro ,Raul alikuwa Waziri wa Ulinzi kwa takriban miaka 50
Ana umri wa miaka 85
........
Raul Castro anaonekana mzee kumshinda komredi Fidel.
 
Afrika haijawahi kuniangusha katika siasa. Yeye kika uchaguzi anashinda ikimaanisha watu wanamkubali na kumchagua lakini watu hao hao wanaumaskini wa hali ya juu mno.
Anashinda kwa 90%+
Huyu jamaa nahisi anajua kula na Wanajeshi ndio maana hawampindui wanaishia kumuangalia tu
.
.
Km Sizonje anavyowabeba wajeda kwenye vyeti feki na pia kuwapa ulaji wa tenda
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom