Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Salman Bin Abdulaziz Al Saud
cdedc569cbe7d3d9b3f3c6c596b3000b.jpg
d0d1a73c071bed3e6c16a9fcb693437f.jpg

Huyu ni mfalme wa Saudi Arabia aliyezaliwa tarehe 31 Desemba 1935
Ni mtoto wa mwisho wa mwasisi wa Taifa la Saudi Arabia....alianza kuiongoza Saudi Arabia mnamo Januari 23 2015 baaday ya kifo cha kakaye aitwaye Abdallah Abdulaziz ambaye ndo alikuwa mfalme hivyo akatawazwa rasmi
Ana umri wa miaka 81
..........
Aisee
 
9/Akihito
15e530e0f4dffaefebb9c580ceb61a14.jpg
0fc4ca224631331e7ec6ae40481c857a.jpg

Huyu ni Mfalme wa Japan aliyezaliwa mnamo Desemba 23 mwaka 1933
Alianza kuirawala Japan kuanzia mwaka 1989 baada ya kifo cha Mfalme Hirohito ambaye alikuwa ni babaye
Anafahamika zaidi nchini humo kutokana na machapisho yake
Ana umri wa miaka 83 lakini kwa huko Japan ni km kijana tu maana kuna vikongwe kibao vyenye zaidi ya miaka 100
.........
Khaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom