Binamu picha ya saa na simu ya tachiiii naombaHabari makapuku wenzangu! najua mmeshinda salama kabisa na tunajiandaa na wiki ya kazi tu ambayo kiukwli kwa mapenzi ya Mungu imetawaliwa na kilio kikubwa kwetu kama taifa kwa kupoteza nguvu kazi muhimu.
Mungu awasaidie wafiwa wote na zaidi atusaidie kama taifa tunapoomboleza msiba huu mzito.
Well, mjomba lee empire karudi kwa muda na kama alivyoahidi kwa ombi langu kaniletea simu ya tachi, tachiskrini na kilichonifanya nisipost chochote ilibidi nikimbie pale DIT kujifunza namna nzuri ya kuitumia na kwa kuanza nilitumia wi-fi yao. Sasa tutakuwa sambamba wadau, kwanza saa then tachi, what a blessing🙂.
uliyoyasema kwa thread ya husna ata sekunde haijaisha hushaandikiwa
ila sawa
ile thread najuta shemela
na ww hutaki mm kuhamia chelseaKuzigia sio shemela
baby hiviiii huniaminiata usingzi siwezi pata kwa presha hii
Mama mchuchu shikamoo umeamkajeAsante kwa maombi,namshukuru Mungu naendelea vizuri
Ameen Baba mchuchuUshapoka katika yeye akutiae nguvu Kristo Yesu
Pole shoga angunaona baby wangu sijui kaleftkama hayupo na mm nitasign out mda si mrefu we mtu uliyenianzishia thread hujui tu ulivyoniharibia
Ikifungwa utahama tusasa hivi nimehamia upande wa baby kwa mda
Mungu awapumzishe mahali pema peponi
hapo shemela wangu meno yote nje
hao ndio simba bana
Sijaelewa kaseja tena
usiku mwema jaman mlale unono mlindwe kwa damu ya Yesumama mchuchu Mungu azidi kukuponya kesho uamke vizuri mama angu
lee wangu nakupenda we peke ako baby wangu ulale salamaunijie ndotoni
sante shem wange kwa magazetiView attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
Dadiii shikamoo umeamkaje lknmama mtumishi pole sana ila hope unaendeleaa vizurii
Kwani ulienda wapi?!Guy's am back
All the time God is good
1960 - Franco Baresi anazaliwa.
Beki wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
Ametwaa Klabu bingwa Ulaya mara 3, Kombe la Dunia mara moja akiwa mwaka 1982.
Anatajwa kama beki bora wa kati kuwahi kutokea Italy.