Makapuku Forum

Makapuku Forum

Usiogope mwifwa we fuatilia kwa kasi yako ya kawaida huku mwendo wa kukimbia tu


Samahani mkuu mwifwa jila lako linanipa utata kidogo nikirudi kwenye lugha ya huku kwetu ( mwiba)
Ni vizuri ufanye utafiti wa kibantu ili upate maana yake na kwa lugha nyingine.
Kwa lugha yangu ina maana nyingine ambayo inanitambulisha kwa hii ID
 
Mpira umemalizika
poleni mashabiki wa man u
Xhakaaaaaaaa aaaaa
e5c59f71881ea54fba68e73510fd0e3a.jpg
Xhaka kapiga mpira wa hatari, herere yule leo analala na viatu
 
Habari makapuku wenzangu! najua mmeshinda salama kabisa na tunajiandaa na wiki ya kazi tu ambayo kiukwli kwa mapenzi ya Mungu imetawaliwa na kilio kikubwa kwetu kama taifa kwa kupoteza nguvu kazi muhimu.

Mungu awasaidie wafiwa wote na zaidi atusaidie kama taifa tunapoomboleza msiba huu mzito.

Well, mjomba lee empire karudi kwa muda na kama alivyoahidi kwa ombi langu kaniletea simu ya tachi, tachiskrini na kilichonifanya nisipost chochote ilibidi nikimbie pale DIT kujifunza namna nzuri ya kuitumia na kwa kuanza nilitumia wi-fi yao. Sasa tutakuwa sambamba wadau, kwanza saa then tachi, what a blessing🙂.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom