Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
1901 - Chama cha siasa cha Labor chaanzishwa huko Australia.
Vyama vya wafanyakazi vina ushawishi mkubwa duniani note
Kwa kulogindua hilo serikali kila mwaka inapandikiza vibaraka wao kwenye uongozi ambao kamwe hawatetei maslahi ya wafanyakazi
.......

