Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Pamoja sana.Ahsante mkuu Mussolin5 kwa historia
Nimeipenda ya Truman
All the time God is good
Pamoja sana.Ahsante mkuu Mussolin5 kwa historia
Nimeipenda ya Truman
All the time God is good
Nilijua tu km utaongeawatu na wapenzi wao
Halafu bongo movie wanataka kuja kushindana na kazi zao![]()
![]()
Duh ina miaka 100 na usher
.......
Ndimo mukobwa wanje..Poa tu, ulimo baba ndegure
Si anakupenda muosha rungu sio mmmm ni wa lee nitabaki kuwa wa lee mtajijua na muosha rungu wenu
Ndioulijua mm robot eenh
1970 - Luis Enrique Martinez anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Barcelona.
Kwasasa ni kocha wa Barcelona ambapo ndio anamalizia mkataba wake.
Hussein Mwinyi bado ni Waziri wa Ulinzi.![]()
Nakutakia maisha marefu Mzee Mwingi![]()
Mmoja kati ya viongozi wachache barani Afrika wasiojikweza..pia siyo mwobgeaji sana
Ndo Rais pekee ambaye ana mke zaidi ya mmoja hivyo wakati wa utawala wake nilikuwa na maFirst Lady wawili
Pia nasikia alikuwa hasaini kabisa adhabu ya kifo
Ndiye baba wa Hussein Mwinyi aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na JKT
...........
Uko sawia mkuu, jamaa anaheshima kubwa sana ndani ya Milan na Italy kwa ujumla.![]()
![]()
![]()
Inaonekana jamaa anaheshimika km Paolo Maskini
........
NdamenyaNdimo mukobwa wanje..
Ndagukunda chane ulamenya..
Hasikiki sana kipindi hiki cha SizonjeHussein Mwinyi bado ni Waziri wa Ulinzi.
Inasemekana anaandaliwa kwa Urais wa Zanzibar.
1978 - Lucio anazaliwa.
Beki wa zamani wa Bayern Munich, Inter Milan, Juventus na timu ya taifa ya Brazil.
Mshindi wa Kombe la Duni mwaka 2002, na Klabu bingwa ulaya mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.
1981 - Andrea Barzagli anazaliwa.
Beki kisiki wa kati wa Juventus na timu ya taifa ya Italy.
Mmoja kati ya mabeki kisiki wa aina yake ambapo anaunda safu makini ya Ulinzi ya Juventus kando ya Bonucci na Chiellini.
1987 - Mark Noble anazaliwa.
Ni kiungo na kepteni wa West Ham.
Amecheza soka lake lote akiwa West Ham.
Hapo Mardin yupo kundi gani1960 - Franco Baresi anazaliwa.
Beki wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
Ametwaa Klabu bingwa Ulaya mara 3, Kombe la Dunia mara moja akiwa mwaka 1982.
Anatajwa kama beki bora wa kati kuwahi kutokea Italy.
Kocha wa sasa wa Real Madrid akimtungua gori mbili wakati huo akiwa mchezaji wa juventus na timu ya taifa Ya Ufaransa1966 - Claudio Taffarel anazaliwa.
Kipa wa zamani wa Brazil ambaye ameshinda kombe la dunia mara 1 mwaka 1994.
Pia alikuwepo langoni wakati Brazil ikifungwa fainali na Ufaransa mwaka 1998.
Kiungo cha Kati1970 - Luis Enrique Martinez anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Barcelona.
Kwasasa ni kocha wa Barcelona ambapo ndio anamalizia mkataba wake.
HBD Enrique1975 - Enrique Iglesias anazaliwa.
Ni mwanamuziki kutoka Spain.