Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari makapuku wenzangu! najua mmeshinda salama kabisa na tunajiandaa na wiki ya kazi tu ambayo kiukwli kwa mapenzi ya Mungu imetawaliwa na kilio kikubwa kwetu kama taifa kwa kupoteza nguvu kazi muhimu.

Mungu awasaidie wafiwa wote na zaidi atusaidie kama taifa tunapoomboleza msiba huu mzito.

Well, mjomba lee empire karudi kwa muda na kama alivyoahidi kwa ombi langu kaniletea simu ya tachi, tachiskrini na kilichonifanya nisipost chochote ilibidi nikimbie pale DIT kujifunza namna nzuri ya kuitumia na kwa kuanza nilitumia wi-fi yao. Sasa tutakuwa sambamba wadau, kwanza saa then tachi, what a blessing🙂.
Binamu picha ya saa na simu ya tachiiii naomba
 
1960 - Franco Baresi anazaliwa.

Beki wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.

Ametwaa Klabu bingwa Ulaya mara 3, Kombe la Dunia mara moja akiwa mwaka 1982.

Anatajwa kama beki bora wa kati kuwahi kutokea Italy.
c13a103ada2358ed4c7ef9b12f91a2bb.jpg
e2036dee89cd7e23449923136569a27c.jpg
b533561f062f64e499b9c5272f4824de.jpg

Inaonekana jamaa anaheshimika km Paolo Maskini
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom