koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,800
- 10,433
kihayaKilugha gani hicho?
kihayaKilugha gani hicho?
Nawe piaMakapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!![]()