Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

I've always wanted to race cars, ever since I was a young boy, as I think a lot of guys have.

Kila mara huwa nataka niendeshe magari, hii ni toka nikiwa mdogo, kama ninavyofikiri kwamba kila kijana anataka



Haya maneno yalipatwa kusemwa na Muigizaji wa kimarekani Paul William Walker.

Paul Walker alizaliwa Tar. 12/09/1973 jijini California nchini marekani.


Paul walker alifariki kwa ajali ya gari tar 30 /11/2013 akiwa na mshkaji wake Roger Rodas..

Gari yao ilikuwa inakimbia speed ya kawaida ya 72km/hr

Walker atakumbukwa kwa filamu zake nyingi moja ikiwa ni Fast and Furious.
b9a6dd90a2828540f61a5218ada74af3.jpg
85680865dd8d009bdb363c82164b7c0b.jpg


Morning wakuu..

wakuu Nukuu za week hii zitakuwa simple..nashindwa kuweka nyama manake niko safarini..Muwe na siku njema
kwahiyo week nzima upo njiani tu Mungu akusaidie ufike salama
 
1925 - Ali Hassan Mwinyi anazaliwa.

Ni Rais wa awamu ya pili ya Tanzania.

Pia amewahi kuwa Rais wa awamu ya tatu ya Zanzibar baada ya kujiuzulu kwa Rais Aboud Jumbe.

Maarufu kama Mzee Ruksa. Ndio Rais pekee wa Zanzibar ambaye si mzaliwa wa Zanzibar kuiongoza nchi hiyo.

Mwinyi ni mzaliwa wa Kisarawe mkoani Pwani.
happy birthday mzee wa ruksa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom