Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kawaua kweliMi nimeona kuwa washabiki wa man u wa hasira maana nilisikia matusi mazito toka kwa washabiki wa man u lakini akaibuka mshabiki mmoja akasema xhaka ameuaaa
Sio wa MUFC pekee kamandaMi nimeona kuwa washabiki wa man u wa hasira maana nilisikia matusi mazito toka kwa washabiki wa man u lakini akaibuka mshabiki mmoja akasema xhaka ameuaaa
Xhaka, imekuwa hivyo tenaBombardier kaizidi kasi Boeing
Unashangaa ya BombardierXhaka, imekuwa hivyo tena
Ahsante, nimejua ID yangu kwa kilugha chenu.Sawa mkuu ndo maana nilikwambia kwa lugha ya kwetu
Shea nasi tafadhaliAhsante, nimejua ID yangu kwa kilugha chenu.
Ngoja nijitahidi ili ibaki kuakisi hiyo maana.
Mwifwa=mwiba (from unknown trible)Shea nasi tafadhali
Wabongo noma sanaUnashangaa ya Bombardier
Mbona juzi kati baiskeli iliizidi ndege spidi
Chelsea vs Crystal Palace
bhinamu obeHabari makapuku wenzangu! najua mmeshinda salama kabisa na tunajiandaa na wiki ya kazi tu ambayo kiukwli kwa mapenzi ya Mungu imetawaliwa na kilio kikubwa kwetu kama taifa kwa kupoteza nguvu kazi muhimu.
Mungu awasaidie wafiwa wote na zaidi atusaidie kama taifa tunapoomboleza msiba huu mzito.
Well, mjomba lee empire karudi kwa muda na kama alivyoahidi kwa ombi langu kaniletea simu ya tachi, tachiskrini na kilichonifanya nisipost chochote ilibidi nikimbie pale DIT kujifunza namna nzuri ya kuitumia na kwa kuanza nilitumia wi-fi yao. Sasa tutakuwa sambamba wadau, kwanza saa then tachi, what a blessing🙂.
ata usingzi siwezi pata kwa presha hiiusiku mwema jaman mlale unono mlindwe kwa damu ya Yesumama mchuchu Mungu azidi kukuponya kesho uamke vizuri mama angu
lee wangu nakupenda we peke ako baby wangu ulale salamaunijie ndotoni
Sisi kwa kilugha chetu Mwifwa inamaanishai "baa la njaa."Mwifwa=mwiba (from unknown trible)
Kilugha gani hicho?Sisi kwa kilugha chetu Mwifwa inamaanishai "baa la njaa."
Hilo tunda ndio lina relate na jina sivyo?Mwifwa=mwiba (from unknown trible)
Ila mimi ni MtanzaniaWabongo noma sana