Amen mkuu SHIMBA YA BUYENZEMakapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!![]()
Ndio Simba anaongoza ligihapana shemela ila nahisi kama tumerudi kwenye nafasi yetu juu ya kilele
Ahsante Kwa HeadlinesView attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
Ubarikiwe Obe

View attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
Hakika Mungu ni mwema wakati wote.Asante kwa maombi,namshukuru Mungu naendelea vizuri
Pamoja sana mkuu koncho77Ahsante Kwa Headlines
Rest in peace kid
Blessedhope umeona habari ya mchungaji hapo chini
mama mtumishi pole sana ila hope unaendeleaa vizuriiAsante kwa maombi,namshukuru Mungu naendelea vizuri
AmenView attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
kihayaKilugha gani hicho?