NdioHapana,
Unalifahamu?
bhinamu obe
heshima yako najua umepata shida sana kujifunza kutumia tachiiskiriiiniii make nilikuwaa naona sms sizielewii zinajituma na watsap nimeona umejiunga mpaka twitter ongeraa sana
Singida linaitwa togoHapana,
Unalifahamu?
Amen kaka JoroweHa hahahah na profile photo nimeiweka ile saa yangu. Na nimejiunga na google😀
Usiku mwema wadau
Asante kwa maombi,namshukuru Mungu naendelea vizuriPole sana dada
Bado,ila naendelea vizuriAmen umesharudi nyumbani dada
Sikua vizuri kabisa,leo afadhali Mungu anaendelea kuniimarishaMama Mchungaji naskia haupo Owkey???
Sikulijua hili mtumishi mwema. Yule Daktari Mkuu bila shaka Ameshakuponya. Pole sana na Mungu Aendelee kukubariki. Mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache. Tunakuhitaji sana mtumishi!Sikua vizuri kabisa,leo afadhali Mungu anaendelea kuniimarisha
Mungu awanusuru jamani ni hatari
Amina hakika nimemuona MUNGU ananigusa,ananiponya ananifariji niko vizuri nguvu nazo zinarudi utukufu ni kwake aliye juu,asante sana kwa maombi yenu nawashukuruSikulijua hili mtumishi mwema. Yule Daktari Mkuu bila shaka Ameshakuponya. Pole sana na Mungu Aendelee kukubariki. Mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache. Tunakuhitaji sana mtumishi!

Amina Amina Ubarikiwe,nimefarijika sanaMakapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!![]()

Ubarikiwe ObeAmen kaka Jorowe
Ubarikiwe
Sana,miundombinu imekufa huko,sema jamaa hawana coverage kubwa tu ila mafuriko yamewaathiri nimeona wabunge wa kafu wanatembeza BAKULI la michango huko TWITAMungu awanusuru jamani ni hatari
Huku tumeamka na MVUAMakapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!![]()
Na hakika Mungu aingilie kati maana kumekaa vibaya sana karibu maeneo yote,Mkoani,Wete,vitongoji ,wawi, mvua zisipo simama athari zitakuwa kubwaSana,miundombinu imekufa huko,sema jamaa hawana coverage kubwa tu ila mafuriko yamewaathiri nimeona wabunge wa kafu wanatembeza BAKULI la michango huko TWITA
Ushapona katika yeye akutiae nguvu Kristo YesuSikua vizuri kabisa,leo afadhali Mungu anaendelea kuniimarisha