Why mkuu,hunikubali ehh ok ok![]()
![]()
![]()
Umegugo baba
Oh so blessed to ave you in here,u know what i mean,thanks for good article,hellow everybodyTUCHUKULIANE
WAGALATIA 6
1 Ndugu zangu mtu akighafilika katika kosa lolote ,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole ,ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe
2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo
3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu ,naye si kitu ,ajidanganya nafsi yake
4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe ,ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu,wala si kwa wenzake
5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe
WAPENDWA
Tupendane
Tuonyane
Tatizo la mwenzetu liwe letu siku zote
Tupige magoti tuombe kwa ajili ya wengine
Tuufurahie uumbaji na vyote vilivyomo
HUO NDIO UPENDO WA KWELI
MUNGU ATUSAIDIE KUCHUKULIANA MIZIGO KWA UPENDO
Asante Baba kwa kutuamsha sala ma tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na vitendo tusaidie tushike mwenendo mpya
Tubariki siku ya leo tukatende ya kukupendeza
Bariki kazi za mikono yetu,safari,familia,kazi,mashamba ,masomo na yote tutakayoshiriki leo
Tujenge tupende kusikiliza neno lako na kuliishi
Tusaidie tupende kusikiliza na kujifunza toka kwa wenzetu tusiwe makwazo kwa wengine
Asante Mungu kwakuwa utatenda sawa na mpenzi yako Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
Asante mzee wa mabibo beachDuma![]()
Ndio mnyama wa ardhini mwenye kasi zaidi duniani anapatikani barani Afrika
Tufanye utalii wa ndani tukajionee kwa macho
Ahsanteni kwa kuwa pamoja nani
Mwisho
.............
Jiraniii nakuona nakuonaJamani nawatakia siku iliyo njema,Mungu awatangulie kwa kila mlifanyalo
Mzee papaa werrason its good to hear from youGoodmorning family.....hope all are doing fine, to those who are not fine God will do miracle to them.....have a nice day
Mkuu habari yako,ahsante kwa salamuGood morning brothers and sisters, friends and my beloved one.
Chief upo juuPamoja sana.
mama mchuchu ubarikiwe sana kwa nenoTUCHUKULIANE
WAGALATIA 6
1 Ndugu zangu mtu akighafilika katika kosa lolote ,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole ,ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe
2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo
3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu ,naye si kitu ,ajidanganya nafsi yake
4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe ,ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu,wala si kwa wenzake
5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe
WAPENDWA
Tupendane
Tuonyane
Tatizo la mwenzetu liwe letu siku zote
Tupige magoti tuombe kwa ajili ya wengine
Tuufurahie uumbaji na vyote vilivyomo
HUO NDIO UPENDO WA KWELI
MUNGU ATUSAIDIE KUCHUKULIANA MIZIGO KWA UPENDO
Asante Baba kwa kutuamsha sala ma tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na vitendo tusaidie tushike mwenendo mpya
Tubariki siku ya leo tukatende ya kukupendeza
Bariki kazi za mikono yetu,safari,familia,kazi,mashamba ,masomo na yote tutakayoshiriki leo
Tujenge tupende kusikiliza neno lako na kuliishi
Tusaidie tupende kusikiliza na kujifunza toka kwa wenzetu tusiwe makwazo kwa wengine
Asante Mungu kwakuwa utatenda sawa na mpenzi yako Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
tunaomba kuwa member humu ndani mimi na huyu mtu 🙂 🙂Hodi jamani nombeni niwe member wa makapuku
shemela wangu hapa meno yote nje
shemela wangu asante sana kwa magazeti
na kwako pia shemelaMagazeti haya yamewajiwa kwa udhamini mnono wa Kante kupitia Lee ambaye leo anadharula
Tukutane kesho, jumanne njema makapuku wote
Hayo mashairi kweli ni ubongo umetoa ladha halisi
yaan hawa wanajua kula raha kwenye nchi yao1986 - Mswati wa III anakabidhiwa ufalme wa Swaziland baada ya kumrithi baba yake Sobhuza wa II.
shukrani Mussolin kwa historia mbarikiwe sana na Bitoz asante kwa pichaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
happy birthday Moyes mimacho alikua na wkt mgumu sana nikikumbuka kipindi yupo man u
Ndo aliyemtengeneza Big Fella wakiwa Everton na kuhama naye kumleta Man Utd LVG akashindwa jinsi kumtumia na kutoka kumuuza![]()
Ila sasa kawa kipenzi cha Mourinho hata avurunde kucheza ni lazima yaani km Bashite na Mkulu
......
Mbona kama ana ban mondrayMondray atakuja kuchungulia jana aliumia sana juu yako